chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,495
Hahaha,unachosema ni kweli ila tukifanikiwa kupata foward mwezi january ambaye anaweza funga goli kuanzia 15 nauhakika epl yetuKuna kila dalili kuwa Man City ndiye Bingwa msimu huu..
Lakini nakukumbusha tu kuwa huna haja ya kujisifia nafasi ya pili kwani tunapishana hii nafasi kutegemeana na nani anacheza na timu kubwa.
Kwahiyo hata wewe ukicheza na Man City basi utanipisha tu hapo.
Nyie mnasindikiza bingwaKuna Siku mimi niliyokwambia Liverpool bingwa???
Fukua Makaburi uilete hiyo post niliyowahi kukwambia Kuwa Liverpool Ni Bingwa.
Ivi unadhani anachokisema Malafyale ndiyo anatuwakilisha sisi site?
Halafu juu ya kuwa umejua Mpira 2010, lakini hiyo elimu yako ndogo uliyonayo juu ya Mpira ndiyo inakufundisha kuwa Ukidraw na Arsenal Ndiyo Mwisho Wa Safari?
Sasa kama kudraw na Arsenal ndiyo Huna timu, Je uliyedraw na West Ham tukuite vipi?
Mimi sina timu ya Kutwaa Ubingwa that is why Points 27 tulizonazo Ni za Mezani tumezipata Kwa Rufaa hatukushinda.
Na kwenye Michezo 11 tulitocheza nadhani tumefungwa Michezo 6 kati ya hiyo that is why tunashika Mkia kwenye Relegation zone.
Jifunzeni Kuujua Mpira musiwe wabubusa kila Siku.
Mimi sio size yako bora Nikuache ngojea waje Size yako kina Malafyale ujibizane nao.
Hata tukikosea haina tatizoNyie mnasindikiza bingwa
Huo ndio ukweli
Hahaha,unachosema ni kweli ila tukifanikiwa kupata foward mwezi january ambaye anaweza funga goli kuanzia 15 nauhakika epl yetu
Barkley akianza najisikia furaha sana.
Nahisi Kovacic ni mgonjwaBarkley akianza najisikia furaha sana.
Nahisi anarudi..morataaaaaa
Sio mgonjwa alicheza match ya katikati hapa na Derby county lazima wapokezane na baklayNahisi Kovacic ni mgonjwa
Loftus hapana yuko GiroudProposed substitutions:
Hazard for Pedro.
Ruben Loftus Cheek for Morata
Kovacic/Fabregas for Barkley.
Giroud hayuko hata bench.Loftus hapana yuko Giroud
Habari yangu umeipata mkuu?Loftus hapana yuko Giroud