Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Wana chelsea wenzangu, kiukweli bila hazard timu yetu haifurukuti kwa vigogo kama liverpool, city, arsenal, totenh, man u, west ham, wolves, everton, fulham,burnley, bournamouth, Brighton and holve, cardif,newcastle and leiceter.
Sawa. Nini maoni yako?
Wewe umetumwa
Unachekesha wewe mtu kutoka Liverpool ni bingwa msimu hadi man city ni bingwa
Kumbuka pia chelsea ya sasa man city hana ubavu wa kuifunga kwa namna tunavyocheza msimu huu na sarriball
So man city tutamfunga na juu kule kilelen tutarejea muda sio mrefu
We king ngwaba nilikwambia huna wachezaji wa kutwaa ubingwa
Wachezaji wenu ni wa kawaida sana kama wale wa Arsenali
Alishasema hao wawili hawaendani na mfumo wake, kwa maneno mengine inabidi wajitahidi kufit kwenye namba zingine zinazoendana na mfumo wa Sarri, at least Moses anaweza kujaribu back winger. kwa sasa Moses anachesea winger namba ambayo sari anaona bado haimfai. Drink water mild field haiwezi na kuna kila dalili atauzwa au kwenda mkopo kama akina BakayokoMaurizio Sarri in no unopen terms about why he doesn't play Danny Drinkwater or Victor Moses. #CFC
Mapema mno, mimi naiona Mancity kama timu ya kawaida sana, tofauti yao na timu zingine hasa hizi za top 5 ni makosa madogomadogo tu ambazo mpaka sasa Mancity wanajitahidi kuepuka. Huko mbele na wao wakiingia mkenge wa kufanya silly mistakes wanaondolewa mara moja na aidha Liverpool, Chelsea au hata ArsenalKuna kila dalili kuwa Man City ndiye Bingwa msimu huu..
Lakini nakukumbusha tu kuwa huna haja ya kujisifia nafasi ya pili kwani tunapishana hii nafasi kutegemeana na nani anacheza na timu kubwa.
Kwahiyo hata wewe ukicheza na Man City basi utanipisha tu hapo.
Na wewe ukicheza na man u utashuka zaidi maana arseno yupo na tot nae yupo anakuvutaKuna kila dalili kuwa Man City ndiye Bingwa msimu huu..
Lakini nakukumbusha tu kuwa huna haja ya kujisifia nafasi ya pili kwani tunapishana hii nafasi kutegemeana na nani anacheza na timu kubwa.
Kwahiyo hata wewe ukicheza na Man City basi utanipisha tu hapo.
Mapema mno, mimi naiona Mancity kama timu ya kawaida sana, tofauti yao na timu zingine hasa hizi za top 5 ni makosa madogomadogo tu ambazo mpaka sasa Mancity wanajitahidi kuepuka. Huko mbele na wao wakiingia mkenge wa kufanya silly mistakes wanaondolewa mara moja na aidha Liverpool, Chelsea au hata Arsenal
Na wewe ukicheza na man u utashuka zaidi maana arseno yupo na tot nae yupo anakuvuta
HahahahaKwahiyo naye Arsenal hatocheza na Man U au?
Hivi nyinyi Rant boys mumeibukia kutoka wapi?
Abaki tu hamna namna.https://www.skysports.com/transfer/...-still-want-napoli-defender-kalidou-koulibaly
Hazard: I could finish career at Chelsea
Eden Hazard says he would have 'no problem' with staying at Chelsea for the remainder of his career.