21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Chelsea wanataka auzwe moja kwa moja na si mkopo kama wanavyotaka atleticoWorld cup imemsaidia atletico madrid wanataka kuunganisha ile kemia ya jirudi (giroud )aende huko ili griezman.azidi kufanya yake je mtamruhusu?
Ana philosophy kama za guardiolahuyu sarri hawezi kutuzingua huyu!!!maana simuelewi elewi kauli zake..
mechi imekwisha 1-070'
Perth Glory 0 - 1 Chelsea
5' Pedro Rodriguez
Ok si kulijua hilo la jumla ahsante kwa ufafanuziChelsea wanataka auzwe moja kwa moja na si mkopo kama wanavyotaka atletico
Giroud aendee tu Tena aende kwelikweli. Though ananyota na FA CupWorld cup imemsaidia atletico madrid wanataka kuunganisha ile kemia ya jirudi (giroud )aende huko ili griezman.azidi kufanya yake je mtamruhusu?
World cup holder huyo jamani kanyanyua kwapaGiroud aendee tu Tena aende kwelikweli. Though ananyota na FA Cup
CjaelewaFantasy Premier leagues 2018/19 code
785861-175124 Hacksaw league
785861-175093 Carabao cup
You can join now...
Source*BREAKING NEWS*
Chelsea have confirmed the signing of Rugani from juventus, for a reported £45m on a five-year-contract. Medical to take place in the next 24-48 hours. More details to follow..
higuan lazima atue maana pale juventus saivi wanamleno lazima atueHivi Chelsea kinachoturudisha nyuma nini hasa? Kila mchezaji tunayemtaka ni zilipendwa.
Inamaana bosi amechoka na hii klabu? Mwaka jana walimtaka Nzeko, tukamkosa na tukaangukia kwa Giruod, mwaka huu tunamtaka Higuan, na Robert Green.
Wachezaji maana akina Ircadi, Griezman wala hatuhangaiki nao na tunashindwa kusajili..tatizo nini?
higuan lazima atue maana pale juventus saivi wanamleno lazima atue
Haina haja kulilia maziwa yaliyokwisha mwagika.Chelsea mlikosea sana kumuuza
Costa