Ni zaidi ya Messi, Ronaldo, Neymar, Salah na wote..hakuna mchezaji anayejua kudribble zaidi ya Eden Hazard...elewa maana ya neno dribbling kabla ya kuleta povu hapa...the guy is master....best by far...
Congratulations to Roman Abromovich for bringing another trophy to the bridge. Baada ya World Cup ataiweka timu dukani. Wachina wanafanya window shopping