The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Kuna faini usipohudhiria mazoezi bila kibali
Diego Costa says he's waiting for Chelsea to set him free. Not coming back to London. Only destination Atlético: "I must return to Atlético"
Jamaa anaendelea kulipwa £150000 (432653697.00 Tanzanian Shillings) per week wakati yuko brazil anakula good time.
Total goals scored this season so far
Lukaku 2
Chelsea FC 2
Lukaku = all chelsea players combined.
Yes am cunt, next question?
Katika Instagram ya Oscar emboaba
Ameandika ipo siku moja atarejea tena chelsea lini na wakati gani tusubiri
Chelsea bana yani hiyo kwenu imekuwa habari kuu utazani makocha wengine hawajawa nominated [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
wagonjwa bado itabidi wachomwe sindano za kushtua misuli..[emoji2]Selection Crisis at Chelseafc on Sunday.
Eden Hazard and Tiemoue Bakayoko play in 8-0 win over QPR at Cobham
Confirmed: Bakayoko available for Chelsea against Spurs, Hazard could be, too
Thanks GOD.
hapana Mkuu, wote walicheza 90 minutes jana na wakawa fit after - so i think wana minutes za kucheza dhidi ya Tonteham ingawa haitakuwa kwa dakika 90.wagonjwa bado itabidi wachomwe sindano za kushtua misuli..[emoji2]
Chelsea bana yani hiyo kwenu imekuwa habari kuu utazani makocha wengine hawajawa nominated [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona hadi official page yenu wameposti acheni ako ka ushamba bhana mbona page kubwa zingine iyo sio habari au mmebahatisha nn
Sent using Jamii Forums mobile app
wagonjwa bado itabidi wachomwe sindano za kushtua misuli..[emoji2]
Akisimama na rudiger its just a matter of time before ku make wonderful combinationAntonio Conte on Andreas christean- i trust him, he is the young player and has experience at borrusia.
conte hapa kanigusa huyu dogo chris ni bonge moja la beki, cahil anatakiwa awe anapigwa benchi na huyu dogo ndo achukue iile namba ya cahili.
Akisimama na rudiger its just a matter of time before ku make wonderful combination
Sent using Jamii Forums mobile app
We mku.ndu nn?! Baba yangu hapa anaingiaje. Unajitoa ufahamu eeeh? ...........
ALVARO MORATA-30mins 1 goal+1 assist.
kuna mwenye tatizo???
Yes, Martial anatatizo maana 10 mins 1 goal + 1 assist sounds reasonable than that of Hamorata.