Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Katika hizi faulo mbili hapakuwepo na hatari ya kufungwa lakini faulo xilichezwa na mipira yote ni mabao ya mbrazil Willian
 
Je salama? Kuna Mwenye link ya "live match" hii? Naomba atuwekee hapa
 
Second half natamani kuwaona Fabregas (Matic) na Hazard (Batshuayi).

Hiyo sub moja ibaki kwa usalama tu maana besdei boy D. Luiz hali si hali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…