Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Imepigwa Spurs wanachukua mpira na David Luiz acheza kweli vinginevyo tungeongea mengine
 
Chelsea ni mpira wa kuvizia na kutegea ila hii peneti itaacha ubishi mkubwa kama alijiangusha au vipi
 
Ukweli tuuseme Spurs wametawala vilivyo first half lakini wako nyuma kwa goli moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…