Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Conte: "We are building something important. I think my players are fully in my idea of football, fully in the method. When you arrive as a new coach in a new team, you must know your players & have a bit of time to understand the habits.“

Antonio Conte is expected to sign a new contract has warned Chelsea’s rivals that his side will be even better next season.

Conte: "This is my first season at Chelsea and for sure when you have the possibility to work more years, you must improve. My players are understanding my idea of football. They are adapting to my system, to my philosophy of football.“
 
Kwa mtu anaefuatilia mpira, kiungo wa uhispania anaechezea klabu kubwa yoyote ulaya obvious ni fundi ukilinganisha na wa nchi zingine unless huyo wa nchi nyingine awe na uwezo wa kuchukua ballon d or ndo utamlinganisha

Mm nauelewa sana mchango wa kante na ninaufurahia, ila kiukweli quality yake bado ni kawaida sana hata kocha conte anazungumza hilo suala mara nyingi tuu kuwa kijana anakiwa kuimprove

Namalizia kwa kusema hivi kante ana kiwango bora kuliko hererra lakini hererra ana ubora mzuri kuliko kante. Kama hujaelewa na hapo sasa wewe ni ........ Tafuta jawabu
 
Mwisho wa ligi tutaona aliyeingia kwenye kikosi bora cha EPL kati ya kante na Herrera kisha sitapenda malalamiko huo ndio utakuwa mwisho wa ubishi.ntakuja kukukumbusha hili
 
Bashite at work
 
Ushabiki usikutie upofu, maana yeye mwenyewe kante anakiri kua anatakiwa Kuimprove, sasa nakushangaa wewe unaebisha!!! May be you know less about football
Hahahahhaa braza usikazanie kutetea imani yako kwan herera hasemi anatakiwa aimprove [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Naona media zinamtia presha moja ya winger hatari kabisa duniani kwenda real madrid Hazard ,nadhani akiongezewa mkataba mpaka 2023 na mshahara atabaki
lengo la media ni lipi lakini kuna faida yoyote wanapata?
 
"ONCE A BLUE ALWAYS A BLUE"[/BLUE]

True blues!

Poleni shabiki wa Chelsea hapa Tanzania kwa kuchelewa kutazama kandanda,wengi wamechipukia 2005/6.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…