Saasa hapo ujue Arsenal watapigwa na Watford, wakija darajani wanagongwa tena halafu Chelsea anatangazwa bingwa Februari zikiwa zimesalia mechi 14 ligi kuisha! Tehe he he he he eeeeee.....Leo nimecheka sana. Hadi watu wakanishanga. Nilikuwa napitia magazeti vup bin Taa...nikakutana na habri inasema "Wenger amepata dawa ya Chelsea" nikaanza kujiuliza inamaana makocha wanamuwazaga chelsea tu badala ya kuwaza mechi inayofuata mfano tarehe 31 arsenal inakutanana na watford.....wao wanalala kuamka wanawaza chelsea haaaaa. Hawa ndiyo akina malafyale ngoja tuje tuwanyoe ili akili iwarudi.
Liver sawa ila kwa game ya chelsea na arsenal kama mzee wenger atafanya possession mtakua na wakati mgumu sana sabbu watafanikiwa maana itawatuliza sana arsenal kwenye njia na kuwapa tija ya kupata matokeo bomba.Saasa hapo ujue Arsenal watapigwa na Watford, wakija darajani wanagongwa tena halafu Chelsea anatangazwa bingwa Februari zikiwa zimesalia mechi 14 ligi kuisha! Tehe he he he he eeeeee.....
Mechi ya kwanza ulisema hivi hiviMalafyale;
Unayo rohoo ngumu kama Gattuso....ngoja hiyo siku ifike ndo utaamini kua Liverfool ndo top 4 wataisikia kwenye radio tu.
Ndugu, kila timu ina wakati mgumu kipindi hiki cha lala salama!Liver sawa ila kwa game ya chelsea na arsenal kama mzee wenger atafanya possession mtakua na wakati mgumu sana sabbu watafanikiwa maana itawatuliza sana arsenal kwenye njia na kuwapa tija ya kupata matokeo bomba.
Kama uliangalia hullcity walifanikiwa kutulia lakini walikua na ubovu wa kumalizia mfano hawakua na mtu wa kupiga pass za mwisho kitu ambacho kiko wazi
So arsenal wana advantage 1. possession itawabeba
2. Wana wapiga pasi za mwisho
3.wana watu wanaojua kufunga
4. Defensive wako vizuri sana
The only problem kwa arsenal ni midfield ndio naona inashida lakini sio kwa namna ambayo watu wanazani sababu bado back up ya timu ni kubwa as in coquline, Ramsey etc.
NB; Ila kwa ndugu zangu wa chelsea bado mnawakati mgumu sana haitakua game nyepesi kiivyo maana arsenal wana advantage ya kua katika hali ya mchezo, kitu ambacho ni threat kwa chelsea kwa sasa kumbuka shangwe baada ya kushinda game na Burnley so sio kiivyo
timu yangu chelsea ninauhakika itavuna point 40 kati ya 48Ndugu, kila timu ina wakati mgumu kipindi hiki cha lala salama!
1. Kuna wanaotafuta ubingwa
2. Kuna wanaotafuta nafasi ya kucheza UEFA ligi
3. Kuna wanaotaka kukwepa panga la kushuka daraja
Nina uhakika kwenye mechi 16 zilizobaki hakuna timu itakayonyakua pointi zote 48! Chelsea, Arsenal, Spurs, Liverpool, Man City, Man U, nk. wote wata-drop points!
Wata-drop pointi kwa nani, hapo sasa ni swala na kusubiri dakika 90 za mchezo ziishe!
hivi ni kwanini mnafungwa na timu ndogo?Mechi ya kwanza ulisema hivi hivi
Alafu sasa siku hiyo hatokuwepo kwenye benchi la ufundi.Leo nimecheka sana. Hadi watu wakanishanga. Nilikuwa napitia magazeti vup bin Taa...nikakutana na habri inasema "Wenger amepata dawa ya Chelsea" nikaanza kujiuliza inamaana makocha wanamuwazaga chelsea tu badala ya kuwaza mechi inayofuata mfano tarehe 31 arsenal inakutanana na watford.....wao wanalala kuamka wanawaza chelsea haaaaa. Hawa ndiyo akina malafyale ngoja tuje tuwanyoe ili akili iwarudi.
Umetoa tathmini Ya Arsenal tuu lakini kwa upande wa chelsea umeshindwa sababu unazijua mwenyeweLiver sawa ila kwa game ya chelsea na arsenal kama mzee wenger atafanya possession mtakua na wakati mgumu sana sabbu watafanikiwa maana itawatuliza sana arsenal kwenye njia na kuwapa tija ya kupata matokeo bomba.
Kama uliangalia hullcity walifanikiwa kutulia lakini walikua na ubovu wa kumalizia mfano hawakua na mtu wa kupiga pass za mwisho kitu ambacho kiko wazi
So arsenal wana advantage 1. possession itawabeba
2. Wana wapiga pasi za mwisho
3.wana watu wanaojua kufunga
4. Defensive wako vizuri sana
The only problem kwa arsenal ni midfield ndio naona inashida lakini sio kwa namna ambayo watu wanazani sababu bado back up ya timu ni kubwa as in coquline, Ramsey etc.
NB; Ila kwa ndugu zangu wa chelsea bado mnawakati mgumu sana haitakua game nyepesi kiivyo maana arsenal wana advantage ya kua katika hali ya mchezo, kitu ambacho ni threat kwa chelsea kwa sasa kumbuka shangwe baada ya kushinda game na Burnley so sio kiivyo
strength ya chese iko wapiLiver sawa ila kwa game ya chelsea na arsenal kama mzee wenger atafanya possession mtakua na wakati mgumu sana sabbu watafanikiwa maana itawatuliza sana arsenal kwenye njia na kuwapa tija ya kupata matokeo bomba.
Kama uliangalia hullcity walifanikiwa kutulia lakini walikua na ubovu wa kumalizia mfano hawakua na mtu wa kupiga pass za mwisho kitu ambacho kiko wazi
So arsenal wana advantage 1. possession itawabeba
2. Wana wapiga pasi za mwisho
3.wana watu wanaojua kufunga
4. Defensive wako vizuri sana
The only problem kwa arsenal ni midfield ndio naona inashida lakini sio kwa namna ambayo watu wanazani sababu bado back up ya timu ni kubwa as in coquline, Ramsey etc.
NB; Ila kwa ndugu zangu wa chelsea bado mnawakati mgumu sana haitakua game nyepesi kiivyo maana arsenal wana advantage ya kua katika hali ya mchezo, kitu ambacho ni threat kwa chelsea kwa sasa kumbuka shangwe baada ya kushinda game na Burnley so sio kiivyo
Chelsea back line sio iko ovyo kwa timu kama arsenal na inakua na wakati mgumu hasa kwa timu zinazoweza kufanya possessionstrength ya chese iko wapi
Backline inayoongoza clean sheet imekuwa mbovu du nashindwa kushangaaLiver sawa ila kwa game ya chelsea na arsenal kama mzee wenger atafanya possession mtakua na wakati mgumu sana sabbu watafanikiwa maana itawatuliza sana arsenal kwenye njia na kuwapa tija ya kupata matokeo bomba.
Kama uliangalia hullcity walifanikiwa kutulia lakini walikua na ubovu wa kumalizia mfano hawakua na mtu wa kupiga pass za mwisho kitu ambacho kiko wazi
So arsenal wana advantage 1. possession itawabeba
2. Wana wapiga pasi za mwisho
3.wana watu wanaojua kufunga
4. Defensive wako vizuri sana
The only problem kwa arsenal ni midfield ndio naona inashida lakini sio kwa namna ambayo watu wanazani sababu bado back up ya timu ni kubwa as in coquline, Ramsey etc.
NB; Ila kwa ndugu zangu wa chelsea bado mnawakati mgumu sana haitakua game nyepesi kiivyo maana arsenal wana advantage ya kua katika hali ya mchezo, kitu ambacho ni threat kwa chelsea kwa sasa kumbuka shangwe baada ya kushinda game na Burnley so sio kiivyo
hiyo ni strength au weakness!Chelsea back line sio iko ovyo kwa timu kama arsenal na inakua na wakati mgumu hasa kwa timu zinazoweza kufanya possession
Arsenal haitapewa nafasi ya kumiliki mpira kuliko chelsea. Tegemea kuona Arsenal ikiwa imepotea kabisa uwanjani. Maana chelsea kwa sasa ina uwezo wa kucheza mpira wa aina yoyote na kwa kasi yoyote kwasababu ina wachezaji wenye kufiti hali zote hizo...Liver sawa ila kwa game ya chelsea na arsenal kama mzee wenger atafanya possession mtakua na wakati mgumu sana sabbu watafanikiwa maana itawatuliza sana arsenal kwenye njia na kuwapa tija ya kupata matokeo bomba.
Kama uliangalia hullcity walifanikiwa kutulia lakini walikua na ubovu wa kumalizia mfano hawakua na mtu wa kupiga pass za mwisho kitu ambacho kiko wazi
So arsenal wana advantage 1. possession itawabeba
2. Wana wapiga pasi za mwisho
3.wana watu wanaojua kufunga
4. Defensive wako vizuri sana
The only problem kwa arsenal ni midfield ndio naona inashida lakini sio kwa namna ambayo watu wanazani sababu bado back up ya timu ni kubwa as in coquline, Ramsey etc.
NB; Ila kwa ndugu zangu wa chelsea bado mnawakati mgumu sana haitakua game nyepesi kiivyo maana arsenal wana advantage ya kua katika hali ya mchezo, kitu ambacho ni threat kwa chelsea kwa sasa kumbuka shangwe baada ya kushinda game na Burnley so sio kiivyo
Hapa umeongea reality kabisa. Haujaweka ushabiki....big up siyo kama wenzetu wale wanaosema leo lazima nishinde but akifika uwanjani wanaliwa kilaini kabisa.Ndugu, kila timu ina wakati mgumu kipindi hiki cha lala salama!
1. Kuna wanaotafuta ubingwa
2. Kuna wanaotafuta nafasi ya kucheza UEFA ligi
3. Kuna wanaotaka kukwepa panga la kushuka daraja
Nina uhakika kwenye mechi 16 zilizobaki hakuna timu itakayonyakua pointi zote 48! Chelsea, Arsenal, Spurs, Liverpool, Man City, Man U, nk. wote wata-drop points!
Wata-drop pointi kwa nani, hapo sasa ni swala na kusubiri dakika 90 za mchezo ziishe!
Huyo anayeshinda ukimuuliza baada ya mechi kama ameshinda kirahisi, utaona anavyokunja uso kabla ya kukujibu!Hapa umeongea reality kabisa. Haujaweka ushabiki....big up siyo kama wenzetu wale wanaosema leo lazima nishinde but akifika uwanjani wanaliwa kilaini kabisa.
Kabla ya Alonso kama vile namwona Fabregas!TEAM BONDING - DINNER
Clockwise: Cesar Azpilicueta, Diego Costa, Kenedy, Victor Moses, Ruben Loftus-Cheek, Nathan Ake, David Luiz, Willian, Ola Aina, Nathaniel Chalobah, Marcos Alonso, Pedro and Thibaut Cortois