Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #36,621
Chelsea FC team today: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Kante, Matic, Alonso; Willian, Hazard, Pedro. [HASHTAG]#LEICHE[/HASHTAG]
Ahahahah huwezi amini bado simkubali. Defense game yake isnt up to the level I expect.Mentor , Alonso kaweka, unasemaje kaka, maana katika wachezaji ambao huwakubali Chelsea nadhani huyu ni namba 1
Kweli kaka, ana kiwango cha chini kulingana na mfumo tunaocheza na majukumu aliyopewa, tumsubiri AkeAhahahah huwezi amini bado simkubali. Defense game yake isnt up to the level I expect.
Baada yankusema hayo tuendelee kuangalia game tukutane half time.
Imetulia?Baada ya kupata goal naona kama timu imetulia, wanacheza sana mpira kati hawaendi mbele kwa mipango
Mkuu nilikuwa namaanisha imepoaImetulia?
Yani ni kwa vile tunacheza na Leicester ila kuna imbalance kule mbele.
Kwakweli i miss Costa...
Ni kweli kabisa naaona hapa wanachokitafuta cha msingi ni mipira invuke Alonso na krosi zipigwe. Inahitajika plan ya kuweza kuzuia mipira upande wa Alonso.Na ninaona wanatumia plan ya Tottenham mipira inakuja kwa Alonso kisha directed upande wa kina Azpi. Ila weak link ni Alonso bado.
Mentor , Alonso kaweka, unasemaje kaka, maana katika wachezaji ambao huwakubali Chelsea nadhani huyu ni namba 1