Oyaa!!! Vipi humu?
Mentor, Enzo, Ntuzu, Kalou
Hongera kwa kuweza kutoka sare leo.
Ni ishara hii kuwa timu ya wachezaji wa kujiangusha angusha hovyo inaanza kufufuka.
Leo pia mpayukaji analalamika kuwa hakupewa "decision"/penalty
Wiki kesho kuna yule West Ham ambaye anapenda ku-harm timu za wababe. Lolote laweza tokea.
‘The referee was weak and naive'. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Soma hii ni kama Mou tu.Mkuu unatoa hongera halafu hapo hapo unaponda!!
Ni kama Panya tu,anauma huku anapuliza!!
Hahahaaaa!! 
Morinho is a failure just like CCM... kila siku refa refa, sasa walilia penalt ya nini?
Si wajiita spesho wani ,haya tutoa hapa tulipo hivi sasa
Jamani vipi huyu kocha wenu,
ameanza kuwehuka nini?
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ata anaelilia penati anasema ukweli
Ukweli upi wa kuwatukana marefa?
"The referee was weak and naive," offered Mourinho, echoing Arsène Wenger's unpunished criticisms of Mike Dean's display when Chelsea beat Arsenal in September. "A big penalty. I keep not understanding what the referee standing behind the goal does because [he] doesn't make a clear decision.Nilikua sijui km anawatukana... Ni matusi gani hayo anayowatukana?
Mou anagombana na "watoto" sasa.
We've got a problem Roman .... ... . ...