Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapa Varane kule Zouma... Next generation ya best centre defenders

Patakuwa hapatoshi aiseee.......!!!!! Kupita mtu hapiti na kuoga anaogeshwa.....!!!! ukuta utakuwa kama uliosukwa pale intermilan twenty ten(2010) wakati barcelona analitafuta goli kwa tochi....!!!
 
kweli game ya leo ni ngumu sana mkuu, maana wale jamaa wanataka kutoka mkiani na sisi tunataka ubingwa. Edson
 
Last edited by a moderator:

Taratibu tu itawaingia...
 

If you are interested in history you better visit the museum! It does not help to remember that once upon a time you was very rich if NOW you are living in poverty. That past memory at most adds to your present pain! Na itawauma sana! na huu ni mwanzo tu!
 

Khekhekheeeeeeeee
 

:alien: Kinachonifurahisha ni kwamba mmeshaanza kukiri kwa vinywa vyenu kwamba chelsea ni bingwa.history doesent matter
 

Ya mkosaji hayo! If you are interested in history you better visit the museum! It does not pay to remember that once upon a time you was a very rich person if you are NOW living in POVERTY! In fact such a memory adds to your present PAIN and misery! The same applies to teams like that of yours which have nothing to show off today except to convince people to have a look to the museum for their past glory!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…