ndio uzoeeeAah mateso hayo
HahahahahaaaaaaHamna sio mie,ni huyu jiran yanguView attachment 473231
naona unawatafuta mods walipo sasaSiku nikipewa ban kwa kosa la mapicha picha pasipohusika ndio nitazoea
Ukila ban utanyooka ukirud utatupa albumMwee mwee mwee waje tu wanipe LIKE sio kingine
Tukuongezee mkia enhee maana mapembe yashaotaAah acha kuniombea mabaya bana ujue na wenyewe ni binadam wanaenjoy picha zangu basi tu kitufe cha like hawana.
For uView attachment 473308
Ili upotezee maana mmh nisije kosa pa kutupia albam yangu,hata robo haijafika