cheki unavyoseviwa ...

cheki unavyoseviwa ...

Vipi upande wa mwanamke? yeye huseviwa kwa majina gani? naona hayo ya wa kaka tu.
 
Asha ngedere,asha boko,makinda,tigo ,twanga ...yani ni mengi hadi...
 
nimesikia hadi wengne ambao wanawachukia waliojipendekeza kwao mara utawaskia wanawa-save eti mbuzi,mara kitimoto,fyagio,castle-lite duh ushawahi seviwa hv au?
 
Ahahahahaaah!!
 
kimeta,nyonya damu,jini,ngumi za uso(mtu anayeomba sana)vizinga,vampire
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom