Mizymade
Senior Member
- Sep 7, 2011
- 119
- 25
hivi carbon dating anafanyiwa kiumbe hai, utanisamehe mi memkwa.
Kumbuja kua viumbe kama kobe(tortoise), kaa(crab) na wengineo wana exoskeleton, yaani mafuvu yao nje ya mwili. So inawezekana kufanya hiyo process kwa kobe, wanachohitaji ni sample ndogo tu.....
