Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,045
Jamaa alikuwa bonge aliona tangazo
limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki"
Akawapigia simu na kuomba kujiunga, Binti:Sawa
uwe tayari hapa ofisini kwetu kesho saa 12 za
Asubuhi..
Siku ya pili akenda na alipofika akapelekwa
kwenye chumba Fulani hivi. Alivyokifungua
akakutana na binti mmoja mzuri kavaa raba,
chupi na Tshirt, Binti akasema ukinikamata tuuu
utalala na mimi na binti akaanza kukimbia.
Bonge alimkimbiza yule binti bila mafanikio na
kila siku kazi ikawa hiyo, Yule Bonge akapunguza
kilo 5 ile wiki.
Bonge akaoomba apewe programu ya kupunguza
kilo 10. siku ya pili asubuhi saa 12 alipofungua
mlango akaona bebe ya ukweli ikiwa imevaa
bikini.
Binti kasema ukinishika tuu nakupa mambo
mazuri jamaa na tamaa zake akamkimbiza yule
bebe na mate yanamtoka kila siku kwa wiki ile
mida ilele lakini hakumshika yule mrembo na
akapunguza kilo 10 ndani ya wiki.
Jamaa akanogewa na kuomba programu ya
kupunguza kilo 25
Binti akamwambia unauhakika unaitaka hiyo? Ni
programu ngumu sana hii!
Jamaa akajibu kwani wanionaje? siwenzi shindwa
mimi.
Siku ya pili yake saa kumi na mbili asubuhi
akaenda kufungua chumba kile akitegemea
kukutana na bebe ya ukweli ikiwa tupu, ile
kufungua tuu akakutana na jamaa moja la
miraba minne na inaonyesha kama chizi vile na
kumwambia:
“ NIKIKUSHIKA TU NAKULA KIBOGA”"
Yule bonge ndani ya ile wiki alipunguza
kilo 40...