Kibwebwe
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 826
- 265
ulevi nomaa
mlevi mmoja alianguka nje ya geti la TBL msamaria mmoja akashauri wampe maji, mara mlevi akaropoka we mjinga nini? Ningetaka maji si ningeangukia geti la IDARA YA MAJI?
jamaa na demu
Jamaa mmoja alimzimikia demu Fulani akawa hajui aanze vipi, akaenda kwao huyo demu akamkuta anafua chupi akamwambia anaomba maji ya kunywa, demu kuingia ndani tu jamaa akainua beseni na kunywa maji yaliyolowekwa zile chupi demu akaruka nini sasa? Jamaa akamjibu nyama hatuli, supu pia tusinywe?
[h=6]Mtaalam wa compute[/h]
[h=6]akitongoza
dem.......!! penzi langu lina GB
kubwa sana kwako,mpenzi
nataka ni install moyo
wangu kwenye CPU ya nafasi
yako.Naomba uni-double
click
kwenye maisha yako niwe
software moyoni
mwako,ur life will not be at risk...condom
itakua
ni antivirus tosha....twende
angaza tukaji-scan
laazizi....!!!![/h]