cheka kuongeza maisha

pauli jm

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
391
278
Mwerefu na mjinga wali kwenda katika usahili, walipo fika kabla hawaja ingia waka kubaliana aanze mwerefu, kisha akitoka ampe mjinga majibu ili wote wapate kazi.
Basi mwerefu akaingia namaswali yakawa kama ivi.

Msahili==Tanzania ilipata uhuru mwaka gani??.
Mwerefu==Ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mbele paka mwaka 1961 kutokana nasabu mbalimbali.
Msahili==Nani hasa alihusika naupatikanaji wa uhuru uwo??.
Mwerefu==Kuna waku wengi wali husika ila mwalim J.K. Nyerere ndiye ali kuja kumaliza kabisa.
Msahili==Ina semekana katika sayari ya mars kuna viumbe wana ishi je nikweli??.
Mwerefu==Watu wengi wana sema hivyo lakini haija thibitika kisayansi.

Baada ya mwerefu kumaliza akatoka, basi mjinga akapewa majibu yote.
Kuingia katika usahahili ma swali yakawa kama hivi.

Msahili==Tuambie uli zaliwa mwaka gani??.
Mjinga== Ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mbele paka mwaka 1961 kutokaba nasababu mbalimbali.
Msahili==Mungu wangu baba yako ana itwa nani??.
Mjinga==Kuna watu wengi walio husika ila mwl J K nyerere ndiye alikuja kumaliza.
Msahili==Hivi wewe nichizi??.
Mjinga==Watu wengi husema hivyo lakini haija thibitishwa ki sayansi.
 
Back
Top Bottom