:) cheka kimtindo

:) cheka kimtindo

Kile kitabu cha what about our promise
unatisha sana!
 
Mwalimu wamatahira aliingia na nazi dasani akawambia hili ni yai la tembo nanianaweza kulisotea mpaka tembo atoke tahira lakiume likatoka mbele likaenda kulisotea mpaka suruali ikachanika wenzake wakaona jogoo wa jamaa anaanza kutoka, wakaanza kushangilia mkonga mkonga ghafla wakaona p**bu wakasema masikio masiko mwalimu hoi!
Haaaaa haaaaa haaaaa!umenifanya niianze hii wiki end kwa rahaaaaaa saaanaaaa!
 
Mama mmoja wakati anamfokea mwanae mdogo alieharibu jambo alimalizia kwa kumuambia...
"...muone kwanza, sura mfuko wa jeans"
Mtoto akauliza "wa mbele, wa nyuma?
Haaaaaaa haaaaaaa haaaaaaa!dogo noma!
 
Jaama aliingia kwenye daladala,akakutana na dada m1,mazungumzo yalikuwa hv.....Jamaa:Samahan dada et we unaitwa google?Dada:Hapana...,mbona umedhania hvyo...?Jamaa:Kwa sababu una kila kitu nnachotafuta
nimemaliza siku yangu vizuri! great!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom