Cheka Kidogo

Dfour

Member
Mar 18, 2010
47
10
Walikutana madaktari watatu kwenye mkutano, Mchina, Mjerumani na Mtanzania, majadiliano yakawa hivi;

Mchina: Kuna case moja nchini kwetu, mtu alivunjika mkono ukakatwa, tukamtengenezea mkono wa bandia na sasa anacheza karate

Mjerumani: Hiyo ndogo, sisi Ujerumani mtu alivunjika miguu yote miwili ikakatwa, tukatengeneza ya bandia na sasa hivi ni mwanariadha ameshinda medali 3.

Mtanzania: Hizo zote cha mtoto, hapa kwetu hapo Bagamoyo tu alizaliwa mtoto hana kichwa tukamwekea nazi na sasa ni rais wa nchi,
 
hivi hii habari/'joke' mbona imesambaa sana kweny mitandao, yaweza kuwa kweli au ni waTZ tu na mambo yao!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom