shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 890
- 1,398
Yaani mpaka anatia huruma. Tangu asubuhi yuko kila jukwaa anapambana na CHADEMA tu.Dada mbona unapata tabu sana?
Kwani ni wewe uliyemshambulia kwa risasi T.L.?
si ajabu ni faiza foxxy amekuja na ID mpyaYaani mpaka anatia huruma. Tangu asubuhi yuko kila jukwaa anapambana na CHADEMA tu.
PossiblyUsimsingizie shangazi wetu wa JF