check out this site for cheap android tablets | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

check out this site for cheap android tablets

Discussion in 'Matangazo madogo' started by zuri, Jan 16, 2012.

 1. z

  zuri Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 2. K

  Kaiquinq Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zuri
  Thanks for showing to me good place to buy Ipad
   
 3. z

  zuri Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hi kai, it is not an Ipad but a google tablet.Works the same way as the Ipad but at a much lower price.
   
 4. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Spammers!!!!!
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  daaah kusema kweli mimi ninayo hyo ya nchi 10, 512 ghz, 16 gb hard drive, android 2:3 lakin its nothing zaid ya ki toy yani najuta hata kwanini nilinunua, nimeitumia mwezi tu anayetaka kama ana lak 3 namuuzia
   
 6. s

  saq JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa 250,000/-Tshs kama upo tayari ninayo Cash.... PM me !
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo bei siwez kuizuza kama una laki 3 ndo uni pm nikuuzie
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu yaani na mimi nilitaka kuangukia hapo hapo hebu labda niambie ina nini hasa??Sio nzuri au ipoje??maana labda nijue kabla sijanunua
   
 9. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Ina office so waweza fanya kaz kwenye power point, excel na word, ina wifi kwa hiyo wireless sana tu, sehem ya ethenet pia ipo halafu unaweza tumia modem pia.
  Unaweza angalia movies, play games, itumia soma notes ckiliza miziki yan mambo meng ka yacomputer utafanya ya kawaida mkuu
   
 10. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Mimi nimechukua kimoja jana (Newsmy Newpad P9) 8" kwa mshkaji alitaka nimpe 500,000 ila baada ya kukaa nacho usiku mmoja tu nimeamua leo nimrudishie. Yaani kama alivyosema mdau hapo juu hiki ni ki toy tu hamna kitu. Bora kama vipi utafute tu ka mini laptop kazuri utaenjoy kuliko hivi vitakataka.
  Baadhi ya matatizo ni haya:
  1. Kwa sisi wabongo tuliozoea windows kitakusumbua maana huwezi kuinstall applications ulizozizoea zaidi ya office
  2. On screen keyboard ni ngumu sana kutumia maana kitu chenyewe kiko flat na vi key ni vidogoooo..kazi kwelikweli.
  3. Yakwangu ina ka external keyboard ila na kenyewe ni kadunchu yaani key ziko kama piriton
  4. Uzito wake ni kama gram 500 na zaidi. Unaweza kudhani ni uzito mdogo lakini mfano unasafiri kwenye basi, na unataka kuangalia movie, kushikilia gram 500 mkononi safari nzima si kazi ndogo!
  5. Internal memory bado ni ndogo inabidi ununue memory card au external hdd
  6.Kwa jinsi kalivyokaa, sioni mahali pa kufungulia incase unataka kuchokonoa. Sidhani kikiharibika kinafaa kutengeneza
  7. Upatikanaji wa spea zake mfano chaja, nadhani ni shida
  8. Chakwangu haki support modem! na wala hakina port ya internet. only wireless
  9. Betri inakaa 6 hours max
   
 11. Tanzanites

  Tanzanites Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 12. e

  elank54 JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  uko api ntaka niichek first
   
 13. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu nipo Dar,plz ni-pm your contacts..300k cash inakusubiri
   
Loading...