Cheche za Fikra: "Mtanange wa Demokrasia" Toleo la 45

Ni vema chadema wakasubiri CCM watoe ilani yao ya uchaguzi

Timing matters wakuu.

I always remember how horrifying movies vile zilikuwa wakati mtoto. When you talk about the monster, it is un-explainable. I always imagine CCM to be like that. CHADEMA create a good tactical team for the usihindi. THey think like CCM, and counter attack them.
 
Mkuu but ukae ukijua CCM ni wakubwa wa kuplagiarise ideas za watu na kuzifanya zao. Hapo walipo sasa hivi wanachokijua kikubwa ni kujenga maflyovers na kuwapa watu maziwa bure kwasababu wanasiasa makini wote wameshawakimbia wamebakia mafisi tu humo ndani. Sasa Chadema wakikosea tu wataula na chuya kwani wanachokifanya CCM ni kukarabati kidogo tu na kuzifanya ilani za Chadema zao. Nakubaliana na wewe Timing ni muhimu but to know how to say the right word at the right time in a right place means everything in politics. Muulize Obama na Cameron wameshindaje ijapokuwa hawakuwa na chochote jipya but walijua kuwa careful to say na wapi waseme na lini
 
I totally concur with you mkuu.
CHADEMA, should think big, maana wakicheza vizuri hapa JK na team yake watakimbia nchi, maana wanajua kinachowafuata. Nakubaliana na wewe wawasubiri kwanza. Ila ifahamike kuwa na wao wanumiza vichwa sana kwa sasa.

Huwa nahisi mtu kama Marando yuko kazini, maana baada tu ya kuingia amekuwa sehemu ya juu... mjini hapa!!
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba wewe Mwanakijiji tayari umekwisha isoma Ilani ya Chadema!
Mkandara, kwa vile Mzee Mwanakijiji alitoa maangalizo lukuki kuhusu Chadema, naamini Chadema sio tuu wameyazingatia, bali pia kuna uwezekano wa umefanyika ushirikishwaji, ndio maana anajua A-Z ya ilani hiyo.

Angalizo, ilani nzuri ni jambo moja, ilani hiyo kuwafikia walengwa kwa maana iliyokusudiwa ni jambo jingine, na utekelezaji wa ilani yenyewe pia ni issue nyingine kabisa.

Kwa sasa na tuisubiri, tuwasaidie kuinadi maana utekelezaji ni subjective under conditional precedent.
 
umesema vizuri kabisa.. kwanza tupate ramani, tujue inataka twende wapi na kwa vipi; halafu tuwaangalie walioshika ramani hiyo kama kweli wanaweza kutuongoza kwayo..
 
1. Yes, ilani iwe ... in place.. hii; nategemea kabisa kwa hali ilivyo , itazidi kuwachanganya CCM. Na wakijaribu kuiiba ndio itakuwa wajajimaliza kabisa...!

2. Hongera kwa Cheche and hoping one day it will go ... hard copy!!
 
Nilitaka ianze kwenda hadi kopi kabla ya uchaguzi lakini ndiyo hivyo tena..
 
:clap2: Hongera sana M/kijiji...naamini kabisa kuwa hakuna kitakacho turudisha nyuma...
 
umesema vizuri kabisa.. kwanza tupate ramani, tujue inataka twende wapi na kwa vipi; halafu tuwaangalie walioshika ramani hiyo kama kweli wanaweza kutuongoza kwayo..

Ndio maana nikasema Chadema wawasubiri Chama cha Majambazi waseme watatufanyia nini watanzania. Maana their roadmap itatusaidia kujua kama kweli wanania ya kujirekebisha au ndio hivyo tena kama mkuu wao alivyosema sizitaki kura zenu amesharidhika na kura za usalama wa taifa. Roadmap ya CCM ndio kifo chao kama bob marley alivyosema you can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time. Sasa tunawasubiri na ilani yao halafu tusikilize wapinzani wanailani gani tuangalie ustaarabu kama nchi ni ya demokrasia kweli maana naona CCM wakishindwa kuna dalili kama watatumia jeshi la polisi na JWTZ kuwaweka madarakani (nasema hivyo kwasababu tushaanza kusikia viongozi wa juu wa polisi wanasisitiza wanasiasa watumie maneno yasiyovunja amani sasa tukimuuliza mheshimiwa mwema maneno yasiyovunja amani jibu nafikiri litakuwa vichekesho kwasababu mfano tukimwita Rostam Aziz mwizi au Lowassa mwizi tutahatarisha amani kwani hakuna mwanadamu anayependa kuambiwa ukweli). Jeshi la polisi linatakiwa kusimamia amani na sio kuwadirect vp wananchi waishi kwa amani.
 
Nilitaka ianze kwenda hadi kopi kabla ya uchaguzi lakini ndiyo hivyo tena..

Micro-payment could be the answer. Shillingi hamsi au mia kwa copy via M-PESA and/or other mechanism might just be the way forward. Kwani, kama ni mapenzi kwa Taifa lako tu, tayari Mkjj umeshayaonesha. Wasioamini hilo mpaka hivi sasa, si wa kuamini hata kama unatandikwa misumari msalabani ukiwa unatekeleza hilo.
 
Laiti Watanzania wengi wangelijua kuwa wanauwezo wa kujaribu the alternative na kupima delivery yake; hakika miaka mingine 5 isingelifaa kujaribisha kilekile kilichoshindikana kwa miaka zaidi ya 30!!
 
Micro-payment could be the answer. Shillingi hamsi au mia kwa copy via M-PESA and/or other mechanism might just be the way forward. Kwani, kama ni mapenzi kwa Taifa lako tu, tayari Mkjj umeshayaonesha. Wasioamini hilo mpaka hivi sasa, si wa kuamini hata kama unatandikwa misumari msalabani ukiwa unatekeleza hilo.

nimecheka kweli.. maana imenikumbusha wale jamaa waliosimama chini ya msalaba wakaanza kusema "kama kweli ni Mwana wa Mungu na ashuke msalabani ili tumuamini".. basically kwa watu wengine huwezi kuwashawishi!! LOL
 
Mkandara, kwa vile Mzee Mwanakijiji alitoa maangalizo lukuki kuhusu Chadema, naamini Chadema sio tuu wameyazingatia, bali pia kuna uwezekano wa umefanyika ushirikishwaji, ndio maana anajua A-Z ya ilani hiyo.

Angalizo, ilani nzuri ni jambo moja, ilani hiyo kuwafikia walengwa kwa maana iliyokusudiwa ni jambo jingine, na utekelezaji wa ilani yenyewe pia ni issue nyingine kabisa.

Kwa sasa na tuisubiri, tuwasaidie kuinadi maana utekelezaji ni subjective under conditional precedent.
Duh! ama kweli Mwanakijiji kiboko yaani tayari kesha ingia ndani hadi kitandani nyumba za watu....
Yes, nimemkubali sharp kweli kweli!
 
mzee vitani ni lazima uhakikishe adui hajui unampiga vipi; ukiwa unatabirika adui atakutegea ujiingize kichwa kichwa... just think about it.. Ila umenichekesha kuwa "hadi kitandani".. sasa nimejiuliza hicho kitanda kilikuwa na mwali au ni cha wageni... LOL
 
Aaah mwali tena.. najua ulikuwa ukipiga bodi tu - Nzi haalikwi!

Shalom,
aaahhh sipendi kwa vipi hali mimi na Mwanakijiji tumbo moja, mama mbali mbali!
 
Back
Top Bottom