Mbonika mboro mae..Hahaha ww kweli unaijua Moshi.
Asante boss. Tunajaribu kupita kwenye mstari ulioko kwenye mpaka wa banSis walaji wa tunda kimasihara tuliokithibitsha kipaji chako toka kule kwenye uzi pendwa , bado tuko pamoja na ww.Ingawa huku matunda yanaliwa kistaarabu kwel kwel.
Ahahahahahahah
Leo ijumaa jioni, bado kidogo ifike jumamosi..Wiki haikawii kuisha hii