KigaKoyo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 273
- 1,918
- Thread starter
- #61
Usipunguze mkuuYeah, treni imekamatia kasi. Ila nimeshauriwa nipunguze details za hizo mechi,
Sent using Jamii Forums mobile app
usipunguze mzee sasa udambwi si utapungua.. Yeye msomaji ruksa kuruka ili atuache sisi tupate radha halisi ya simuliziYeah, treni imekamatia kasi. Ila nimeshauriwa nipunguze details za hizo mechi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks. I will consider it bro.U should consider doing Podcast, the series its lit
Ikiwezekana Mume wa Hamida aingilie katiAsee this shit is deep. Fanya udrop another episode hapo kesho. Bila hivyo utatuua na arosto!
Naam, jahazi lazidi kushika kasiMambo yanazidi kuwakaaa.. Lete vitu mkuu.
Hahahah, ndo maana nikaweka ndefu. Ila wadau wakiandamana itabidi niweke katikati ya wiki piaNikifikiria kuwa mpaka Jumamos tena.
Duu kwa kweli huu ni ukatili wa kiwango cha SGR kabisa.
thanks for following the story.Asee this shit is deep. Fanya udrop another episode hapo kesho. Bila hivyo utatuua na arosto!