Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Kama alivyofanya Dr Slaa alipotimkia ughaibuni. Alivuna mpunga wa kutosha. Wabongo wana roho fulani hivi ya kwanini!
Kheri wewe unalijua hilo ndugu... mazwazwa wengine wajifunze, waache kulialia na chuki binafsi. Fursa zipo! Dunia ni yetu! Si vibaya kuruka mipaka kutazama fursa kwingineko za maisha.
 
Ungewajua watu kiukweli nyuma ya hiyo screen yako iliyopasukapasuka ndo ungejiona we kweli duniani ulikuja kupuyanga.
Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe,unamtisha nani wakati hata mimi hunifahamu! Mimi wala sina haja ya kukujua wewe binafsi wala kutaka kujua hali yako ya kimaisha vyovyote utakavyokuwa hayo ni maisha yako.
 
Sio suala la mshahara bali ni suala la uaminifu na kutimiza ahadi. Kwanini watoe ahadi halafu washindwe kutekeleza. Kama sio uhuni ni nini? Wangemuacha aendelee kubaki BBC wangepungukiwa nini?
Na BBC Swahili yenyewe imejifia wameipeleka Kenya, baada ya kutangaza habari za dunia kwa kiswahili, matokeo yake wanatangaza habari za Kenya
 
Mkuu hata wakimpangia nafasi nyingine lakini kumbuka nafasi aliyoahidiwa sio hiyo atakayopewa. Ni bora wangemuacha aendelee kuvuna paundi akiwa BBC. Wamemharibia future bila sababu za msingi.
Ila na ye bwana aliamini vipi kirahisi?.
Wakati ana mfano wa tido mhando?
Amezingua sn na yeye
 
Picha anayoinyesha kwenye jamii ni kama vile ana utoto sana, immature. Labda abadili hili kwanza, watamchukulia serious.
 
Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
Watu mnamadharau sana!
Salim kikeke kuna kipindi cha nyuma alikuwa on and off huko BBC akichukua degree nafikiri anaweza kuwa nazo mbili ila hiyo moja ya mambo ya International relations nina hakika anayo
 
Back
Top Bottom