Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani
Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa Salum Mwalimu mkoani Tanga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la shule ya msingi Mwakizaro na kusema kuwa hawawezi kususia uchaguzi mkuu
Soma Pia: