Bora hata wakampa ya utumbuizaji Mobimba huenda watu wangefuata show.Chaummwa jana walivuna aibu hapa Mwanza
Hawakutoa Dau kwa wahudhuriaji.Chaummwa jana walivuna aibu hapa Mwanza
Wapi umesikia kwenye mikutano ya Chadema wanaitaja Chaummwa? Chadema iko bize kutoa elimu kwa wananchi na wengi kwa maelfu wanaikubali hoja ya No Reforms No Election na ndiyo maana wanaichangia. Taahira kama wewe ambaye umejaza kinyesi kwenye hilo fuvu lako huwezi kelewa unachoweza ni kumsifaia yule subiani mnyinya damu za Watanganyika tu na labda kwenda chooni.Naona sasa CHADEMA mmeanza kushindana na CHAUMMA. Kwa hakika mmepoteza Dira na muelekeo kabisa.
kwanini hii ni habari njema, ya kufurahisha na ya matumaini sana kwa chadema gentleman?🐒Waswahel wanasema.. Nyotq njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasemq first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
Chauma chaumia 😂😂Waswahel wanasema.. Nyotq njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasemq first impression last conclusion..

Hamkuwafundisha kusomba watu na malori ?kwanini hii ni habari njema, ya kufurahisha na ya matumaini sana kwa chadema gentleman?🐒
kwanini Chadema wameandaa supu ya kujipongeza baada ya mkutano wa CHAUMA mwanza?🐒Hamkuwafundisha kusomba watu na malori ?
IgweeeeeeWaswahel wanasema.. Nyotq njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasemq first impression last conclusion..
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo
Hivi ndivyo tunavyoweza kuthibitisha kwenye chama cha siasa cha CHAUMMA.. pamoja na majigambo mengi mikutano yake miwili ya kutambulisha viongozi pale Ubungo plaza na ule wa hadhara uliofanyika Mwanza imefeli big time!
Project CHAUMMA ililenga kukipasua na kukidhoofisha chama tishio cha CHADEMA.. Lakini waandaji na wafadhili wa hii project walisahau CHADEMA SIO NCCR MAGEUZI kwa TLP wala sio CUF kwa ACT- WAZALENDO.. Vyama ambavyo vilikuja kumalizwa kizembe na mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi
Naweza kusema pamoja na mahitaji ya nyakati na uelewa wa wananchi kuongezeka lakini walioandaa project za NCCR-TLP na CUF- ACT walikuwa kidogo werevu maana waliweza kutumia key figures Ku is am bar at is ha
Yaani ni sawa na mzazi kumlea mtoto kwa taabu na mateso mengi kisha umkatae au umfanyie figisu asifanikiwe
Mfumo unaokilinda chama cha mapinduzi ulinia kutumia uchaguzi ndani ya CHADEMA kukipasua.. Ikashindikana.. Ndio wakaja na plan B ya CHAUMMA.. kwa bahati mbaya sana "wali pick wrong figures"
Kwa kosa hilo kubwa kwa sasa chaumma ni mwendo wa maumivu .. Yaani kimeshajibemenda hata kabla ya kwanza kutambaa.
Igweeee...!!!!
CDM ina mambo yake mengi ya kujadili namna ya kukabidiliana na ubedhuli wa ccm hatuna muda na hicho kinyago chenu mlicho kichonga.kwanini Chadema wameandaa supu ya kujipongeza baada ya mkutano wa CHAUMA mwanza?🐒
Wameanza na kuwatumia wasanii na bodaboda ili kuvutia watu lakini ndiyo hivyo sisi Wasukuma hatudanganyiki kiboya niliona ng'ombe tu ndiyo walikuja kuangalia vitukoHamkuwafundisha kusomba watu na malori ?