View attachment 37124Nape siku zote anakuwa na majibu mabaya,ukipinga hoja yake facebook anakuremove kwenye friends zake,Hivi mpaka lini ataweza kukibia hoja za watu?kama anashindwa kumjibu mwananchi wa kawaida je anaweza kuwajibu viongozi wa ngazi za juu?
Before nilikua namheshimu sana Nape.. Toka awe katibu mwenezi, Amejishushia sana heshima! Anaongea vitu ambavyo kwa kijana kama yeye havifai.. Kutokana na Ombwe la uongozi, nilitegemea kijana Nape atuongoze bila kujali itikadi za vyama, lakini badala yake amekua ni mtu wa kauli za ajabu ajabu na Hoja nyepesi nyepesi za kulipana visasi vya kisiasa.. SHAME ON U NAPE na CCM yako..
Mara nying watu kama nyie huwa hampingi hoja zake kwa hoja bali n kwa matuc..sasa kama mnam2kana kwa nn hacwa remove?...na mbna hauzungumzii uktoa thread jf ya kuwarekebsha chadema walpokosea unapgwa ban!nyie mna chuk zenu bnafc na huyu jamaa kwa kuwa anawaumiza vchwa yan anawakalsha sana2...
Ningekuwa Moderator ningekutaka uthibitishe na ukishindwa unakuna ban...pumbavu zakoMara nying watu kama nyie huwa hampingi hoja zake kwa hoja bali n kwa matuc..sasa kama mnam2kana kwa nn hacwa remove?...na mbna hauzungumzii uktoa thread jf ya kuwarekebsha chadema walpokosea unapgwa ban!nyie mna chuk zenu bnafc na huyu jamaa kwa kuwa anawaumiza vchwa yan anawakalsha sana2...
Yaani anashangaza kweli,ukiona hata vitu anavyopost wala huwezi ukamfaninisha na kijana aliyeishia la saba.
Kijana alieyeishia Darasa la 7 ana busara kuliko Nape, siku zinapozidi kwenda mbele na kiburi chake kinazidi na heshima yake inapungua kwa Ari zaidi Kasi zaidi. Pumbafu sana
hahahahahaaaa!<span style="font-family: comic sans ms"><font size="3"><b>Kijana alieyeishia Darasa la 7 ana busara kuliko Nape, siku zinapozidi kwenda mbele na kiburi chake kinazidi na heshima yake inapungua kwa Ari zaidi Kasi zaidi. Pumbafu sana</b></font></span>
View attachment 37124Nape siku zote anakuwa na majibu mabaya,ukipinga hoja yake facebook anakuremove kwenye friends zake,Hivi mpaka lini ataweza kukibia hoja za watu?kama anashindwa kumjibu mwananchi wa kawaida je anaweza kuwajibu viongozi wa ngazi za juu?
halafu miezi inavyo ongezeka ndivyo tumbo lake linavyozidi kuwa kubwa :bange: