Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
View attachment 37124Nape siku zote anakuwa na majibu mabaya,ukipinga hoja yake facebook anakuremove kwenye friends zake,Hivi mpaka lini ataweza kukibia hoja za watu?kama anashindwa kumjibu mwananchi wa kawaida je anaweza kuwajibu viongozi wa ngazi za juu?