Before nilikua namheshimu sana Nape.. Toka awe katibu mwenezi, Amejishushia sana heshima! Anaongea vitu ambavyo kwa kijana kama yeye havifai.. Kutokana na Ombwe la uongozi, nilitegemea kijana Nape atuongoze bila kujali itikadi za vyama, lakini badala yake amekua ni mtu wa kauli za ajabu ajabu na Hoja nyepesi nyepesi za kulipana visasi vya kisiasa.. SHAME ON U NAPE na CCM yako..
usijekuta yu mjamzito!halafu miezi inavyo ongezeka ndivyo tumbo lake linavyozidi kuwa kubwa :bange:
Tatizo lake ni kukataa ushauri na kudharau watu
<br />Mara nying watu kama nyie huwa hampingi hoja zake kwa hoja bali n kwa matuc..sasa kama mnam2kana kwa nn hacwa remove?...na mbna hauzungumzii uktoa thread jf ya kuwarekebsha chadema walpokosea unapgwa ban!nyie mna chuk zenu bnafc na huyu jamaa kwa kuwa anawaumiza vchwa yan anawakalsha sana2...
<br /><br /><br />Mara nying watu kama nyie huwa hampingi hoja zake kwa hoja bali n kwa matuc..sasa kama mnam2kana kwa nn hacwa remove?...na mbna hauzungumzii uktoa thread jf ya kuwarekebsha chadema walpokosea unapgwa ban!nyie mna chuk zenu bnafc na huyu jamaa kwa kuwa anawaumiza vchwa yan anawakalsha sana2...
jifunze kutoka kwenye utenda kaz wa mwalimu,kwenye maendeleo na maslahi ya nchi lazima uwe mkali kama pilipili,ni bora lawama kuliko hasara mkuu. Na nyie tatizo jamaa kawazoesha kuchekacheka sana,ye jamaa hamna sehemu anakua serious kutoa hoja zenye tija anacheka 2 magamba bana,jamaa sikuamini alivyojibu kwamba hajui kwanini cc ni maskini afu anakuja anawachekea mnashangilia 2,tuelimike kama m2 hujui hata tatizo letu unaweza kweli kulitatua?Vitu gani ambavyo umeviona sivyo vya msingi?tatizo CDM siku zote mna makelele na hasira
Ningekuwa Moderator ningekutaka uthibitishe na ukishindwa unakuna ban...pumbavu zako
Mara nying watu kama nyie huwa hampingi hoja zake kwa hoja bali n kwa matuc..sasa kama mnam2kana kwa nn hacwa remove?...na mbna hauzungumzii uktoa thread jf ya kuwarekebsha chadema walpokosea unapgwa ban!nyie mna chuk zenu bnafc na huyu jamaa kwa kuwa anawaumiza vchwa yan anawakalsha sana2...