Chats wanazo zipenda mademu wenye hela

Chats wanazo zipenda mademu wenye hela

Nikizungumzia mademu wenye hela sizungumzii hawa mayatima nazungumzia wanawake wenye pesa yao halisi.

Kifupi hawa wanawake walicho bakisha kwao ni wapi watapata furaha, mtu wa kumuelewa na kuelewana .

Ukiwapatia code zao hakuna kitu kizuri utakosa.

Ili uwe karibu nao lazima na wewe uwe unajiweza kiasi chake. Kifupi usiwe marioo.

Sina mengi ya kusema ila thank you very important.View attachment 2932831
Tuko mwezi wa 3 wewe unatoa ahadi ya kumnunulia chupi yenye kabla mwaka haujaisha. Mmekutana wote viande
 
No wonder hamjui wanawake wanataka nini. Bro hiyo meseji ni kwa ajiri ya kumjulia hali sema wengi mme cremu salam

Kuwa tofauti na wenzio ...usicho jua madem wanatakwa kila siku na watu tofauti hivyo be different.

Punguzeni ujuaji tuwape madini
 
Enjoy uzee wako polepole kaa mbali na vijana tusije kukupa presha ukatufia bure
Unadhani wewe uko immune kufa? Kuna wangapi wamekufa wakiwa vijana kabisa? Ndiyo maana nakumbia wewe bado una akili za kitoto. Wenzanko kwenye hii stage tayari wana akili na wanawaza mambo ya maana wewe unakimbizana kupost msg ulizoandikiwa na wasichana. Kama siyo upopomaa ni nini?
 
Kufupisha story pin location wajukuu waje kukuaalimia. Acha kurumbana na vijana wako. Halafu huu ni wakati wako wa kulala
 
You still have a childish mentality. How can you, at your age, impulsively post messages from a girl? Your peers receive even ten such messages a day but remain silent dumbass!
 
Mzee unataka kutukanana na vijana wako....? Tukupe matusi mapya ya kisasa
 
I heard in your neighborhood, the person who utters the most insults is considered the cleverest of the area! Your mother insulted me, accusing me of impregnating her and then abandoning her, do you think I give a fu*k to idiot like you!
 
Katika maisha yangu sijapata kuona tako kama wewe
 
Your education is severely lacking, hence your tendency to contemplate lowly matters. The low quality schools you attended have stunted your intellect, leaving you with an IQ akin to that of a hyena
 
Nilichoelewa hapo ni neno chupi tu.
 
Nikizungumzia mademu wenye hela sizungumzii hawa mayatima nazungumzia wanawake wenye pesa yao halisi.

Kifupi hawa wanawake walicho bakisha kwao ni wapi watapata furaha, mtu wa kumuelewa na kuelewana .

Ukiwapatia code zao hakuna kitu kizuri utakosa.

Ili uwe karibu nao lazima na wewe uwe unajiweza kiasi chake. Kifupi usiwe marioo.

Sina mengi ya kusema ila thank you very important.

View attachment 2932831
Ccm imeharibu vijana.

Dogo acha Viroba
 
Your education is severely lacking, hence your tendency to contemplate lowly matters. The low quality schools you attended have stunted your intellect, leaving you with an IQ akin to that of a hyena
Teh..! Nakuona kama joti
 
FB_IMG_1708788172607.jpg
 
Back
Top Bottom