Chats wanazo zipenda mademu wenye hela

Chats wanazo zipenda mademu wenye hela

Mleta mada anaendelea kupata miongozo [emoji23][emoji23]
Nilikua nahisi utakua moja ya madem wajanja humu ila kwa collabo yako na huyo mjuaji fala ....aaahahaha wewe sio kiazi wewe ni gimbi
 
Mwanamke ni vile umemuingia ukienda kiparoko atakia sister...ukiingia kisomi anakua msomi ni wewe tu
Wewe inaonekana ndiyo umepata mwanamke wako wa kwanza. Wenzako sisi ni wakongwe, huko tulishapita siku nyingi. Zile enzi mtu ukipata barua (siku hizi msg) kutoka kwa msichana basi unapita mtaa mzima ukionyesha kila kijana wa rika lako. Usiku hulali sawasawa, kila baada ya nusu saa unasoma. Hii hali ndiyo unayopitia sasa dogo.
 
Nikizungumzia mademu wenye hela sizungumzii hawa mayatima nazungumzia wanawake wenye pesa yao halisi.

Kifupi hawa wanawake walicho bakisha kwao ni wapi watapata furaha, mtu wa kumuelewa na kuelewana .

Ukiwapatia code zao hakuna kitu kizuri utakosa.

Ili uwe karibu nao lazima na wewe uwe unajiweza kiasi chake. Kifupi usiwe marioo.

Sina mengi ya kusema ila thank you very important.View attachment 2932831
Bogus Thread.. Screenshot haina hata details za kutosha kuonesha upekee wa "chats" za huyo mwanamke unayesema ni ana hela.
 
Wewe inaonekana ndiyo umepata mwanamke wako wa kwanza. Wenzako sisi ni wakongwe, huko tulishapita siku nyingi. Zile enzi mtu ukipata barua (siku hizi msg) kutoka kwa msichana basi unapita mtaa mzima ukionyesha kila kijana wa rika lako. Usiku hulali sawasawa, kila baada ya nusu saa unasoma. Hii hali ndiyo unayopitia sasa dogo.
Enjoy uzee wako polepole kaa mbali na vijana tusije kukupa presha ukatufia bure
 
Back
Top Bottom