Chats wanazo zipenda mademu wenye hela

Chats wanazo zipenda mademu wenye hela

𝐔𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚,𝐮𝐭𝐚𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐬𝐢𝐨 𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐥𝐚𝐤𝐨 𝐩𝐢𝐚.
 
𝐔𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚,𝐮𝐭𝐚𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐬𝐢𝐨 𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐥𝐚𝐤𝐨 𝐩𝐢𝐚.
Sasa hapo kosa ni nini....?
 
Nikizungumzia mademu wenye hela sizungumzii hawa mayatima nazungumzia wanawake wenye pesa yao halisi.

Kifupi hawa wanawake walicho bakisha kwao ni wapi watapata furaha, mtu wa kumuelewa na kuelewana .

Ukiwapatia code zao hakuna kitu kizuri utakosa.

Ili uwe karibu nao lazima na wewe uwe unajiweza kiasi chake. Kifupi usiwe marioo.

Sina mengi ya kusema ila thank you very important.

View attachment 2932831
Me naona mabinti wasikupotezee muda na malengo yako.
 
Teh..! Nakuona kama joti
Joti ndiyo nani tena wengine mambo ya kipuuzi huwa hatufuatilii. Hizo ni anga zenu wakuja, mnaanzisha thread eti kwa sababu mmeandikiwa meseji na msichana. Ushamba mwingine ni mzigo mkubwa.
 
Joti ndiyo nani tena wengine mambo ya kipuuzi huwa hatufuatilii. Hizo ni anga zenu wakuja, mnaanzisha thread eti kwa sababu mmeandikiwa meseji na msichana. Ushamba mwingine ni mzigo mkubwa.
Bora huo mzigo kuliko mzigo wa ujuaji
 
Back
Top Bottom