mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Maendeleo hayana vyama!!!!Chato at its peak
watembee vifua mbele kama wamepigwa ngumi ya mgongo.Sisi wana Chato tunatembea kifua mbere. Kumbe tunajengewa na hospitali ya kanda!
Chato hakuna Ikulu ndogo, kuna nyumba ya Magufuli hivyo akiwa likizo wakati mwingine anaitumia kama ofisi.Aisee! Ikulu Ndogo,International Airport, MSD ya mkoa, CRDB bank, Jengo La TRA, Jengo La Tanesco, Bandari, Hospital Ya Rufaa Ya Kanda, Chuo Cha Veta Na sasa wanataka chuo kikuu. Aya mambo yanafanyika kwenye population ya watu ambao hawafiki hata Laki 4. Wakati Kuna Mikoa Ina Watu Zaidi Ya Mil 2 Hawana Hizi Huduma.
Izi Pesa Ukijumlisha Ni Kama Bil 500 Ndani Ya Miaka 5 Ya Kwanza Maana Yake Jamaa Anaweza Tumia Trion 1 Kuwekeza Kwao Kabla Ya 2025