Chato: Rais Magufuli ampokea Rais Museveni wa Uganda

Tena kwa taarifa yako Gaddaf alikuwa bora kuliko JPM kwa kila kitu kuanzia maendeleo mpaka udictator. Lakini kipimo hicho ni iwapo tu watalinganishwa wao wawili basi.

Kama alifanya mamuzi ya kumsaidia Iddi Amin kwa kuwa Muislam mwenzake akasahau Tanzania nako wako Waislam unamuweka kwenye fungu gani? Wanajeshi wake waliposhikwa mateka akili yake ndio ikajiongeza. Mwanamume anayevaa wigi, Khadaf almaruhumu.
 
Nasema yeye ni bora kuliko jiwe kwa kila kitu fullstop.
 
Niandalieni mapokezi nami nimejipanga kuja Chato. Aisee ni tofauti kabisa na Nyerere, yeye alipokuwa likizo alikuwa anashinda shamba halafu jioni anakutana na wazee pale Mwitongo na kucheza nao NAO.Kweli kila zamu na gazeti lake
 
Kama hujui kuwa Butiama ilipebdelewa kuwa mfano wa kuonesha maisha ya Kijiji cha ujima hamna namba nyengine ya kukusaidia
 
Back
Top Bottom