Chato: Rais Magufuli ampokea Rais Museveni wa Uganda

Ndio nasema hizo sifa mnazompa si za kweli,mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!Naye mmeshamjua anapenda misifa basi nanyi ndio mnamjaza ujinga!Eti wakongo hawasikilizi tena mziki bali hotuba za JPM,mweh mweh mweh hata mimi siwezi kukubali kusifiwa kinafiki namna hii!

Tatizo lako unafikiri unajua kila kitu..Mbaya zsjdi hujui ulishashindwa kuishaswishi jamii ya Watanzania hasa wa hali ya chini wamchukie JPM. Subiri sanduku la kura kitambo kidogo, ndio utajinywea sumu.
 
Wamchukue akawe rais wao.
Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
 
KWAHIYO ATATEMBELEA NCHI AU NYUMBANI KWA JIWE
Ni safari binafsi kwa Magufuli nyumbani kwake. Jamaa mshamba sana.
Ushawahi ona mambo binafsi yanafanywa yakitaifa? Siku mpwa wake anapata kipaimara mtashangaa LIVE. Ni ulimbukeni tu, hakuna jingine.
 
Hahaa hutaki una acha, umaarufu wake DRC umeongezeka mara dufu pale alipomhakikishia Rais wa DRC.kuwa wavunja tofali kwa ngumi hawatoki DRC mpaka amani ipatikane.
we mlevi wa sifa. makamanda unawaita wavunja tofali, ngoja uingie 18 zao utageuka mchanga
 
Hivi hizi ziara za kibinafsi zimekuwa za kitaifa?
TBC badala ya kugharamia watu kusafiri kila siku kwenda Chato wafungue ofisi kabisa na kuhamisha staff was kutosha.
 
TBC Kamera zao ni duni sana picha mbaya mbaya ukungu utafikiri kuna moshi wa kuni. Wanashindwa hata na Star Tv na Azam tv?

haibu kubwa sana chombo cha taifa kinaendeshwa na kodi zetu kinashindwa kununua kamera nzuri za 1080P FULL HD 4K?
 
Duh kwa hali hii kweli ndiyo maana uwanja ulijengwa chap chap! Genye za kuwapokea mabishoo zilikuwa zimenasa mbaya
 
we mlevi wa sifa. makamanda unawaita wavunja tofali, ngoja uingie 18 zao utageuka mchanga

Unafikiri hii itanichonganisha nao labda? Na jina lao la kizalendo zaidi ni wapiganaji "vita" Hilo kamanda hata Lissu/Mbowe wanalitumia khalafu wanavaa kombait na mokasini, kichekesho, hahaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom