Chato: Rais amwaga misaada kwenye shule aliyosoma

Chato: Rais amwaga misaada kwenye shule aliyosoma

Sasa hivi JPM anapitia wakati mgumu sana,
Wakati ambao wananchi hawataki kusikia chochote kutoka kwake..
Watu wamejazwa hasira zaidi ya mbogo..
 
Yeye pia ni binadamu,na pia hongera zake kukumbuka alikotoka,angelikuwa wakujikweza asingelienda kijiweni,na kugonga kengele ni socilization ya kawaida jaman,siyo kubeza tu
 
yeye ana zurula vijiweni arafu cc tufanye kazi! twaafa
 
Habari hii angehusika gwiji la uigizaji afrika laiwanani wa monduli sipati picha maneno matamu angebatizwa.....mtu wa watu, rais wa mioyo ya watu, ana hekima na busara nk
Wizi mtupu!
 
Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika shule ya Msingi Chato shule aliyosoma elimu ya Msingi.

Baada ya kufika shuleni hapo Rais Magufuli alipiga kengele kuwatoa wanafunzi madarasani ili awasabahi.

Baada ya hapo rais Magufuli alielekea kwa miguu na wasaidizi wake hadi maeneo ya CRDB katika kijiwe cha wapiga kiwi ili kuwasabahi washikaji wake hapo kijiweni.

View attachment 457170

View attachment 457172
Hiyo picha na wanafunzi_nimeipenda sanaaa.
 
Mistali ya wimbo wa darasa kwa kiwango kikubwa inamuhusu uncle
 
Hii inaonyesha jinsi gani asivyokuwa na mpangilio na asivyofuata protocol za Utendaji. Kupiga kengele ni kazi ya time keeper, yeye kama Rais wa nchi anaanzaje kupiga kengele. Hii inaonesha asivyojali mgawanyo wa madaraka.
Mkuu wa Protocol Ikulu na Walinzi wa Rais, poleni sana aisee.
Hapana.tuache siasa chafu.rais wa nchi ana heshima yake.utajisikiaje siku hodi inapigwa mlangoni kwako.kufungua mlango unamkuta ni magufuli?
 
Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika shule ya Msingi Chato shule aliyosoma elimu ya Msingi.

Baada ya kufika shuleni hapo Rais Magufuli alipiga kengele kuwatoa wanafunzi madarasani ili awasabahi.

Baada ya hapo rais Magufuli alielekea kwa miguu na wasaidizi wake hadi maeneo ya CRDB katika kijiwe cha wapiga kiwi ili kuwasabahi washikaji wake hapo kijiweni.

View attachment 457170

View attachment 457172
hahahahahahahaha kazi ipo
 
Sasa kengele alipiga ya nini wakati wanafunzi walikuwa darasani wakisoma kama siyo usumbufu ni nini!?
Amevuruga ratiba ya masomo na pia natumai andalio la somo kwa walimu waliokuwa madarasani...teh teh teh.
 
Labda alienda kujaribisha yale mambo kama yamesetiwa vizuri
 
Hivi alipiga kengele kweli? Nafikiri aligonga kengele siyo kupiga kengele!
 
Nimeipenda hii.
Mkuu hata mimi nimeipenda, shule ya msingi niliyosoma iligeuzwa kuwa sekondari. Wameharibu kabisa historia maana hata nikienda kuitembelea siyo shule ya msingi tena. Mkuu mambo mengine anafanya vema sana kwenye jamii.
 
Jamii inayomfahamu vizuri rais inapata nafasi ya kuonana na rais kukaa nae bayana kumtania na kuongea nae mambo mbalimbali. Na kwa furaha kabisa rais anawauliza mnataka nini? Jamii hiyohiyo ambayo baadhi ya vijana wengi waliojitokeza kumlaki rais ni wenye maisha duni kwa kukosa ajira, mitaji ya biashara ndogondogo nk. halafu wanashindwa kumshauri rais jambo hata moja endelevu na lenye tija kwa maendeleo yao katika eneo waliloko na badala yake wanaishia kumwambia rais "kaa tu hapa kijiweni usiondoke"!

Je wewe una maoni gani?
 
Back
Top Bottom