Chato: Rais amwaga misaada kwenye shule aliyosoma

Chato: Rais amwaga misaada kwenye shule aliyosoma

Nzur hiyo, kukumbuka ulipotoka.... Hili ni jambo jema
 
Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika shule ya Msingi Chato shule aliyosoma elimu ya Msingi.

Baada ya kufika shuleni hapo Rais Magufuli alipiga kengele kuwatoa wanafunzi madarasani ili awasabahi.

Baada ya hapo rais Magufuli alielekea kwa miguu na wasaidizi wake hadi maeneo ya CRDB katika kijiwe cha wapiga kiwi ili kuwasabahi washikaji wake hapo kijiweni.

15895117_1148799008552174_5093279195447700598_n.jpg


15977354_1148798421885566_3189387951995774720_n.jpg
 
Nadhani Anamaanisha kila Mtanzania anaweza kufika alipo hata ukiwa kwenye mazingira magumu kiasi gani.
 
Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika shule ya Msingi Chato shule aliyosoma elimu ya Msingi.

Baada ya kufika shuleni hapo Rais Magifuli alipiga kengele kuwatoa wanafunzi madarasani ili awasabahi
Baada ya hapo rais Magufuli alielekea kwa miguu na wasaidizi wake hadi maeneo ya CRDB katika kijiwe cha wapiga kiwi ili kuwasabahi washikaji wake hapo kijiweni
Najiuliza hali ya mwalimu Mkuu baada ya kuona kengele ya emergency imegongwa na yeye hajui kuna nin cha dharura, baada ya kutoka nje akakuta ni mkuu wa nchi. Nadhani ukame uliisha kwa jasho
 
Alijisikia vyema kuharibu vipindi kwa watoto
 
Wanaomlinda wana kazi kweli kweli.

"Kuna mtu ameenda nje mara nyingi kuliko hata kwenda kijijini kwao"

Naona sasa yeye ameamua kuigeuza badala ya kwenda nje sasa ana kwenda kijijini kwao.

Kaona Watanzania tumeshampotezea sasa ili asipotee kila siku awe gumzo kwenye mitandao.
 
Hii inaonyesha jinsi gani asivyokuwa na mpangilio na asivyofuata protocol za Utendaji. Kupiga kengele ni kazi ya time keeper, yeye kama Rais wa nchi anaanzaje kupiga kengele. Hii inaonesha asivyojali mgawanyo wa madaraka.
Mkuu wa Protocol Ikulu na Walinzi wa Rais, poleni sana aisee.
 
Alipiga kengele??ruhusa ya kupiga kengele nani alimpa??

Mtoa mada ebu niambie endapo alipewa ruhusa ya kupiga kengele au la...kuna kitu nataka niandike hapa..


Ebooooo...alipiga kengele????
 
Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika shule ya Msingi Chato shule aliyosoma elimu ya Msingi.

Baada ya kufika shuleni hapo Rais Magifuli alipiga kengele kuwatoa wanafunzi madarasani ili awasabahi
Baada ya hapo rais Magufuli alielekea kwa miguu na wasaidizi wake hadi maeneo ya CRDB katika kijiwe cha wapiga kiwi ili kuwasabahi washikaji wake hapo kijiweni
Afanye suluhisho la ugumu wa maisha.... Sio hizo komedi
 
movie inaendelea.....
Ivi ni prezo wa Chato au Tz nzima?? maana kila siku chato chato aizunguke nchi ajue matatizo ya nchi
Pale ndio home, Dar yupo kiutafutaji,,,
Mwache aende nyumban bhana
 
Back
Top Bottom