Chato: Rais amwaga misaada kwenye shule aliyosoma

Chato: Rais amwaga misaada kwenye shule aliyosoma

Hashindwi yule,ametaja eneo alilokuwa akitoka kwa miguu kuja shule,inaonesha ni mbali,me mwenyewe nataman niwe nakwenda kutembelea shule yangu ya msingi ila ilikwenda na Maji,[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Aisee ni mbali sana mkulu kazoea shida tangu mdogo
 
Amegonga bhana nimeiona video clip kwenye ukurasa wa insta wa Michuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kigongeo ni JIWE

Hapo ana maana atawanyorosha kweli mafisadi na wazembe kwa kuwagonga. Ha ha ha ha ha
 
bulldozer,tingatinga,timekeeper,the list goes on and on...viva Magufuli viva!

mshapata a.k.a mpya,enhe?

timekeeper,bulldozer,naona a.k.as zinazidi kuchipuka!

Kwani Magufuli ni Mahakama?
Kwani Magufuli ni NHC?
A.k.a uchwara..
 
Haha hiyo ya kugonga kengele imenikumbusha nikiwa time keeper hapo darasa la 5 mpaka la sita, mpaka nilipoacha hayo majukumu na kua kiranja wa elimu. Haha! Utoto raha.
 
Sawa tu, anatekeleza ahadi na Sera za CCM. Fanya uwezavyo mkuu, nchi IPO chini yako hii
 
Chato wana mwagiwa neema. Kagera watetemeke wenyewe kujijengea makazi yao
Rais anapokea mshahara kila mwezi, mshahara unatosha kujenga madarasa matatu na ofisi moja ya waalimu.
 
Back
Top Bottom