Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,200
- 162,758
Nimekumbuka ila kauli ya wasukuma wawili kuswaga .............!!!Wakati makao makuu ya nchi hakuna mpango huo, wakati jiji kuu la kibiashara nchini bado mitaa mingi sana iko gizani. Pesa anazochota bila idhini ya Bunge in trillions na kuzificha kwenye VOTE 20 na VOTE 30 ili ofisi ya CAG isizikague! Mwizi HAACHI ASILI!
Acha uchochezi bwana!!!!Halafu Rais anatoka Chato na waziri wake wa ujenzi na uchukuzi anatoka Chato...Huyu waziri namnukuu "Chato utakuwa jiji la mfano"
Kishindo cha awamu ya tano by Gerson Msigwa!
Pimbi aki-comment kwa hasira!!Mada za kipimbi kama hizi utawavuna vilaza wengi, ukimaliza hili njoo na Pwani kupata uwekezaji wa trillion 7 za bwawa la umeme kutoka kwa huyohuyo mtu.
Mimi sithemi kitu!!!
Ni upumbavu kufikili kila kitu lazima kikamilike dar ndo sehem zingine zipate, sasa chato hawakai watu ila taa zinazowekwa musoma hiyo sio ishu, kwa nni ziwekwe msoma wakati dar baadhi ya shemu hazipo na sijaona mkilalama humu? Wakari mwingine punguzeni upumbavu wenu, wa roho mbaya na urofa.Mimi sithemi kitu!!!
Mwekahazina mkuu anatokea wapi jamaniHalafu Rais anatoka Chato na waziri wake wa ujenzi na uchukuzi anatoka Chato...Huyu waziri namnukuu "Chato itakuwa jiji la mfano"
Kishindo cha awamu ya tano by Gerson Msigwa!
Halafu Rais anatoka Chato na waziri wake wa ujenzi na uchukuzi anatoka Chato...Huyu waziri namnukuu "Chato itakuwa jiji la mfano"
Kishindo cha awamu ya tano by Gerson Msigwa!
Halafu Rais anatoka Chato na waziri wake wa ujenzi na uchukuzi anatoka Chato...Huyu waziri namnukuu "Chato itakuwa jiji la mfano"
Kishindo cha awamu ya tano by Gerson Msigwa!
'Kuswaga' ng'ombe.Nimekumbuka ila kauli ya wasukuma wawili kuswaga .............!!!