Chato kuwekewa taa za barabarani

Chato kuwekewa taa za barabarani

Upumbavu wa hali ya juu!!!! Hivi chato inaingiza pato la kiasi gani kwa Taifa hata ipewe kipaumbele kuliko jiji kuu la biashara nchini au makao makuu ya nchi!?
Comment yako ingeanzia baada ya!!! Tukopamoja kwa siku nyingi zijazo rekebisha lugha yako.
 
Acheni uchochezi,, mbona hata Maswa wanaweka taa za barabarani? Pia barabara za mjini hapo Maswa zimepigwa lami! Napenda kusema hii ni mipango mipana ya halmashauri za wilaya! Kama kwenu mlichagua madiwani mazombie shauri yenu!
 
Back
Top Bottom