Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 19,641
- 14,248
Maendeleo fasts! Luna walozi humu hawajui kuwa kila halmaahauri ina vipaumbele vyake.
Wakati makao makuu ya nchi hakuna mpango huo, wakati jiji kuu la kibiashara nchini bado mitaa mingi sana iko gizani. Pesa anazochota bila idhini ya Bunge in trillions na kuzificha kwenye VOTE 20 na VOTE 30 ili ofisi ya CAG isizikague! Mwizi HAACHI ASILI!
Unayejiita salary slip wewe Huna akili ni lofa na mpumbavu by B. Mkapa
Huyo kibaraka wa Jiwe anaumia sana tunavyompinga Mungu mtu wa Chato.Kwi kwi kwi POVUUUUU! Ungekuwa na 10% ya akili za Salary Slip usingeandika upuuzi unaouandika humu. THAT IS A FACT.
Huyo kibaraka wa Jiwe anaumia sana tunavyompinga Mungu mtu wa Chato.
Kwani Chato ni Japan? si Tanzania? sioni tatizo loloteBarabara nyingi si barabara zote kwanini wasiweke kwenye barabara zote za Dodoma na jiji kuu la biashara nchini kabla ya KUKURUPUKA na kurukia Chato!? 😳😳😳😳 Chato ina umuhimu gani ukilinganisha na Dodoma na Dar cha kupewa kipaumbele cha taa za barabarani wakati kuna mitaa Dodoma na Dar haina taa za mtaani?
Kwani Chato ni Japan? si Tanzania? sioni tatizo lolote
mnateseka sana, wewe huoni dar inavyojengwa? huoni dom inavyojengwa? usijitoe akili mkuuKwa hiyo? Chato ni kama kimji tu kwanini ipewe kipaumbele kuliko Dar na Dodoma? Mbona waliotangulia hawakufanya hivyo kila kukicha kujenga kwao tu tena kwa pesa za wizi ambazo Bunge halijaidhinisha!?
Tia akili kichwani wewe acha kuandika UPUUZI!
mnateseka sana, wewe huoni dar inavyojengwa? huoni dom inavyojengwa? usijitoe akili mkuu
Lawama zako hazitazuia maendeleo Chato. Mitaa ya Jiji la kibiashara isubiri Chato itoke gizani-bigup serikali ya awamu ya tano mnatujali wanyonge.Wakati makao makuu ya nchi hakuna mpango huo, wakati jiji kuu la kibiashara nchini bado mitaa mingi sana iko gizani. Pesa anazochota bila idhini ya Bunge in trillions na kuzificha kwenye VOTE 20 na VOTE 30 ili ofisi ya CAG isizikague! Mwizi HAACHI ASILI!
wewe ndo mpumbavu unayejifanya huoni dramastic changesWapumbavu kama wewe ndiyo mnaovimbisha kichwa huyo nduli na dikteta ili kuendelea na maovu yake mbali mbali dhidi ya Watanzania. Nchi ina taratibu zake mbali mbali za kuiendesha siyo kufanya mambo KIHUNI KIHUNI TU!
wewe ndo mpumbavu unayejifanya huoni dramastic changes
Hahahaaaa, kweli chadema mna matatizo, wewe uliona huo wizi? hizo fedha zilizoibiwa zimepelekwa wapi? hamna jipya, tulieni nchi inyooshwe, na tunataka kumpa miaka 30 mbeleMimi si mpumbavu ndiyo sababu nayapinga maovu yote ya huyo dhalimu ikiwemo wizi, ufisadi, ubadhirifu, utekaji, utesaji, UUAJI, ubambikiaji kesi, kudharau bunge, mahakama, katiba, ofisi ya CAG kwa kuzuia isifanye kazi yake ya kukakua matumizi mbali mbali ya Serikali ili aweze kuendeleza UKWAPUZI wake wa trillions za walipa kodi lakini MPUMBAVU wewe yote hayo huyaoni unakenua na kumpigia makofi huyo dhalimu.
Lawama zako hazitazuia maendeleo Chato. Mitaa ya Jiji la kibiashara isubiri Chato itoke gizani-bigup serikali ya awamu ya tano mnatujali wanyonge.
Hahahaaaa, kweli chadema mna matatizo, wewe uliona huo wizi? hizo fedha zilizoibiwa zimepelekwa wapi? hamna jipya, tulieni nchi inyooshwe, na tunataka kumpa miaka 30 mbele