Kwa maana hiyo mlikuwa watu zaidi ya milioni 6??
wewe na nani usiusemee moyo kama wewe ni kambi ya slaa utajibeba.
Labda UVCCM ndo waandamane, hakuna mwanaCDM mwenye akili timamu anaweza kuandamana kupinga uamuzi wa kamati kuu ya CDM!!!!!
Sio kweli, rejea taarifa ya Mwenyekiti wa CDM Kigoma...
Ni whuni wachache wakiongozwa na Dr Alex(Katibu wa Zitto na anayepigiwa debe na Zitto kumrithi 2015 iwapo Zitto hatagombea) pamoja na makada wa CCM waliokodi boda boda kumi na mbili na kuanzisha kile kinachoitwa maandamano
Wanafunzi wote wako na boom ile nyie vifaranga ndiyo hamna boom toka kwa mama yenu.wataandamana wachumia tumbo tu, badala ya kuandamana hawana boom + ajira , wanapoteza mda kumtukuza huyo mchumia tumbo.
Kamati kuu ilianza na shetani sasa inamaliza na shetani.kamati kuu ya saccos iliyokuja na maamuzi ya kipuuzi
kumbe we pia mshabiki sana eh?...bahati tv zilirusha na kurudia tena na wale hawakua watu 19 bana,Hahahaha walikuwa 19 nao walihongwa ili wafanye ujinga ule
natafuta mke anae jua umbea
Huyu ni mpima upepo tu hana chama maalumu ila kajishikiza CHADEMA kiaina..Sasa huyo Alex anataka kumrithi Zitto kw ticket ya Chadema au CCM? Maana kama ni Chadema am sure hana nafas =i hata kidogo labda CCM au NCCR
Kamati kuu ilianza na shetani sasa inamaliza na shetani.
Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa baadhi ya wanafunzi kutoka chuo cha SAUT chenye wanachama wa chadema wapatao 3000 wataandamana kupinga maamuzi ya chama,inasemekana watakaoshiriki wanaweza kufikia 600.
ngoje tuone sinema hii mana hata magamba wanaweza kuunganisha nguvu hapa.
Nasikia nao wataia kiberiti kadi za chadema mzee slaa wampe waangalizi make sacos yao sasa inaelekea kufa kibudu atapata wapi hela ya kumpeleka jose germany.
Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa baadhi ya wanafunzi kutoka chuo cha SAUT chenye wanachama wa chadema wapatao 3000 wataandamana kupinga maamuzi ya chama,inasemekana watakaoshiriki wanaweza kufikia 600.
ngoje tuone sinema hii mana hata magamba wanaweza kuunganisha nguvu hapa.