charminglady pokea zawadi ingawa hunipendi

Mwanangu charminglady nilishamwozesha kwa @C6, na kwa sasa ni mjamzito soon nitaitwa bibi na mume wangu mpenzi watu8 ataitwa babu muda si mrefu, may God be with us. Wewe umeibukia wapi?

huyu dogo king'ang'anizi kama ruba, wala asikusumbue kichwa wangu...

Hivi nyie babu na bibi watarajiwa bado mko katika zile zama za kuchagulia waume mabinti zenu,mi nilidhani mtakaa pembeni kumuachia binti aicheze ngoma hii anavyoona ni vyema machoni pake,hapa tunasubiri mtoto tu na kitakachofuata ni kumuhamishia binti na mwanae kwetu ,huko nyie subirini ujumbe wetu tu tuelewane...
 
daddy watu8 na mummy measkron hayo ni maneno ya mkosaji tena mfa maji. . . mnamtambua mkwe wenu C6 a.k.a baba kijacho. asiwasumbue akili huyo.
kijacho / mjukuu mtarajiwa anawapa hi. . .
 
Last edited by a moderator:
Ni muda sasa umepita,nilikua kimya kwani nilienda kutafuta.nimerudi na kizawadi hiki japo kidogo lakn unaweza kuanzia wakati nasikilizia jibu toka kwako
Range-Rover-Evoque-front%20side%20exterior.jpg
pamoja napesa kidogo ya mafuta
us_dollar.png

muosha magari kapewa ufunguo sasa anatambishia wake za watu.... kijana hahahhahhaha
 
Hivi nyie babu na bibi watarajiwa bado mko katika zile zama za kuchagulia waume mabinti zenu,mi nilidhani mtakaa pembeni kumuachia binti aicheze ngoma hii anavyoona ni vyema machoni pake,hapa tunasubiri mtoto tu na kitakachofuata ni kumuhamishia binti na mwanae kwetu ,huko nyie subirini ujumbe wetu tu tuelewane...

Hata samaki huvuliwa na ile ndoana yenye mnyoo ulioshiba...
Hayo magari na hizo dollar kwetu vimejaa tele...wakati yeye anahangaika jinsi ya kutumia hizo pesa sisi tunajiuliza ni wapi tutazipeleka hii mifweza tuliyonayo
 
pole sana
3096891620_de316e5d71_z.jpg
 
Mkuu wakati ndio sasa naona umechoka kuishi wewe...ngoja nikuitie mwenye mali a.k.a kubwa la maadui.. C6 eeeeehhh!!! Piga BAN huyu mtu...iko chukulia ile kitu roho yako inapenda.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom