Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 927
Ni muda sasa umepita,nilikua kimya kwani nilienda kutafuta.nimerudi na kizawadi hiki japo kidogo lakn unaweza kuanzia wakati nasikilizia jibu toka kwako
pamoja napesa kidogo ya mafuta
Una uhakika kuna sehem salama ya kui-park hiyo ndinga?
wakati ndio sasa una moyo mkubwa sana! sasa mtu ana bed rest na wakati wowote atajifungua bado wamfuatilia? kaazi kwelikweli!
namshanga, naona anataka kunisababishia miscarriage ya miezi tisa kasoro wiki 2!!!!! please wns leave me alone. . .
kweli WNS wajua kupenda, lol!
Una uhakika kuna sehem salama ya kui-park hiyo ndinga?
WNS atafutaye hachoki,akichoka keshapata,kaza buti mwanawane who knows.
ndugu yangu kupenda kunagharama zake,lakin pia kunamaumivu yake hasa unapopenda usipendwe
Mwanangu charminglady nilishamwozesha kwa @C6, na kwa sasa ni mjamzito soon nitaitwa bibi na mume wangu mpenzi watu8 ataitwa babu muda si mrefu, may God be with us. Wewe umeibukia wapi?