grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
huyu wa upande wa kuume afya yake yaonekana ina mgogoro na ni matumani tu
Hao wanauzuri wake kwa waliobarikiwa, maana kwa migodi hata wa Tanzanite unasingiziwa.
huyu wa upande wa kuume afya yake yaonekana ina mgogoro na ni matumani tu
Kuanzia leo sivai suti yenye mifuko. Duuuhhuyo wa kulia ana kwapa kama mfuko wa suti
Kuanzia leo sivai suti yenye mifuko. Duuuh
naona hadi kumfanyia hivyo unampa msisitizo wenye mkwara mzito.kwani unataka kumaanisha nini wewe??!
huyo ndo paloma mwenyewe..lolhuyo wa kulia ana kwapa kama mfuko wa suti
huyo ndo paloma mwenyewe..lol
like majini..like them, ni wanawake wa kina nani? duh wabayaaaa
naona hadi kumfanyia hivyo unampa msisitizo wenye mkwara mzito.
nakufaham sana, tunafanya kazi ofisi moja. siku moja ulicha cmpter ume login nikachungulia jina lako. lol.........haaaa umepatia! uliwahi kuniona wapi vileeeeeee.........afu kama nakufahamu ujue...
Eti ndo "inglishi figa" hiyo kalagabaho..!
nakufaham sana, tunafanya kazi ofisi moja. siku moja ulicha cmpter ume login nikachungulia jina lako. lol
ha ha ha ha....., nilikuwa sijaona kwapa lako..., maana ofisini unavaa nguo za heshima zinazofunika mabega. alaf mtambuz mchokoz sana sijui alinasa vip picha yako..oky! kwa hiyo umefurahiii mwenyewe! au unanidraw hapa!! hahahaaa
huyo wa kulia ana kwapa kama mfuko wa suti
ha ha ha ha....., nilikuwa sijaona kwapa lako..., maana ofisini unavaa nguo za heshima zinazofunika mabega. alaf mtambuz mchokoz sana sijui alinasa vip picha yako..
ha ha ha...., kwapa lako saaaafiii, linanukia mapouder na unyunyu...., mie nadhani kamera ya mtambuz ina maryenge, haliwezi kuwa limejikunja namna hiyo..japo sijawahi kuliona.weeee.......mie mbona zangu za kuvaa blauzi zisizofunika kwapi!!! afu heheheee umeshawahi nisogelea kusikia kwapi langu linanvyonuka?!?!?
ha ha ha...., kwapa lako saaaafiii, linanukia mapouder na unyunyu...., mie nadhani kamera ya mtambuz ina maryenge, haliwezi kuwa limejikunja namna hiyo..japo sijawahi kuliona.
ha ha ha ha...., alaf wew! langu sikuoneshi aisee, lina nyele kama hapo kwenye avata yako.., naziosha, steaming, naritachi, dryer kama kawa.........ina trachoma hiyo kamera!!!
btw nataka kuona kwapa lako.....lipo katika hali gani.............hahahaa muone unajishika hapo nakuona......hahahaaa