hahahah mfuko wa suti ukoje jamani?huyo wa kulia ana kwapa kama mfuko wa suti
ule wa juu ukiingiza mkono wakati wa kuutoa kuna kile kitambaa laini cha ndani lazima kitajitokeza kwa nje kikiwa kimekunjamanahahahah mfuko wa suti ukoje jamani?
ule wa juu ukiingiza mkono wakati wa kuutoa kuna kile kitambaa laini cha ndani lazima kitajitokeza kwa nje kikiwa kimekunjamana
Mmh Wakuu, Hapo wanaonekana wanafuraha ya ajabu na hakika hawa mteti mtu.... Hiyo ni Carnivalo ya kumbukumbu Sao Paolo / Rio style !!
heeeee......haiwezekani! nadhani Mtambuzi amebackdate..........ndo kwanzaaaaa naiona!!!
lakini why?!?!?!?
huyu wa upande wa kuume afya yake yaonekana ina mgogoro na ni matumani tu
Subiri kidogo Mtambuzi akishaachiwa na small maza hausi wake atakuja kukwambia!
Subiri kidogo Mtambuzi akishaachiwa na small maza hausi wake atakuja kukwambia!
kulikoni umemshikia Charminglady kiuno?