Its very hard for people to believe that Charlie Sheen is one of the HIV/AIDS propaganda missile used by big pharmaceutical industries.
Its very annoying when people come to realize that, the so called HIV does not even exist.Very annoying indeed.
Wewe bado sana,hata kama utajitutumua kujiaminisha kwa watu kwamba unajua lakini ukweli ni kwamba hujui kitu kwenye suala hili.You are very blank on this issue.Ni bora ukae kimya usubiri kuelimishwa kuliko kujifanya unajua,utaiadhirisha false ID yako.
1."I am lead to wonder why have there have never been ONE person on any global media channel to challenge existence HIV, NOT ONE"
Sasa angalia uvundo ulioandika hapo juu.Ndio maana nakwambia wewe hujui,subiri uelimishwe,usiwe mkali wakati kichwani huna elimu hii.Wanasayansi wengi tena maarufu na wakubwa duniani walishajitokeza kuelezea suala hili wakiwa na uthibitisho wa kisayansi.Wewe uko dunia gani?
Peter Duesberg:
Huyu ni Prof aliyesomea virology,anawajua retrovirus vizuri sana,Robert Gallo anamjua huyu jamaa.Peter anasema(Kwa kutoa uthibitisho wa kisayansi) kwamba hakuna kirusi yeyote mwenye uwezo wa kushusha kinga ya mwili.Mfuatilie Peter wewe mwenye,usisubiri kumezeshwa,maana uvivu wa kusoma ndio tatizo lenu.Peter ameandika scientific papers nyingi sana kuhusu suala hili,Peter hasemi kitu kwenye public bila ya kuwa na uthibitisho nacho.
Dr.Robert Willner:
Mfuatilie huyu Dr.vizuri wewe mwenyewe,huyu alishawahi kujidunga mara nyingi sana na damu yenye huyo HIV(feki) lakini mpaka anafariki alikuwa ni HIV-.Robert Willner ameandika kitabu kimoja kinaitwa DEADLY DECEPTION kinachozungumzia kwamba AIDS haisababishwi na huyo HIV(hewa) mnayemwabudu.
Eleni Papadopulos:
Huyu alikusanya data zote ambazo zilitumika na kina Gallo na Montaigner kuwaaminisha watu kwamba wao wamegundua HIV.Anazielezea data hizi kwa kutoa uthibitisho wa kisayansi kwanini HIV hajawahi kugundulika.Hakuna uthibitisho wa kisayansi kuelezea uwepo wa HIV.Mfuatilie wewe mwenyewe huyu mama genius ndio utaweza kuwa na uwezo wa kusimama na mimi kwenye hoja.
Prof.Kary Mullis:
Huyu ni prof wa biochemistry ambaye mwanzo alikuwa amekaribia kuamini kwamba HIV yupo na anasababisha AIDS.Kwa kuwa Kary ni very bright,baadaye akaja kugundua kwamba huu ni uongo wa kijinga sana na akaamua kuachana na HIV/AIDS regime.Kumbuka au fahamu kwamba Kary Mullis ndiye mgunduzi wa PCR kile kipimo kinachotegemewa cha huyo HIV(feki).Sasa usije ukatoa uvundo kusema kwamba kama Kary Mullis haamini HIV kwanini ametengeneza kipimo hicho,nakupa angalizo tu kukuokoa usiadhirike.
Wapo wanasayansi wengine wengi wakubwa,siwezi kutaja wote kutokana na muda na nafasi kwa wasomaji.Wanasayansi hawa walishajitahidi mara nyingi sana kutafuta nafasi kwenye media kuelezea suala hili lakini hawakusikilizwa.Kuna sababu kubwa sana ya wao kutosikilizwa,wewe huijui hii sababu ndio maana uko kimbelembele kupinga.Unakimbilia kusema kwamba mimi nimeshikilia ma conspiracy theories tu.Hutaki hata kuhoji,unadhani kuhoji ni dhambi.Fuatilia vizuri watu hawa ili uone kwamba walishahangaika sana kwenye media lakini hawasikilizwi.
2."bring forth your test/experiments to prove HIV is not actually HIV, it is something else."
Ukifuatilia maelezo ya hapo juu kwa umakini utapata documentaries na scientific papers kuthibitisha unachokitaka kwenye hayo maandishi mekundu.Kuna papers nyingi zimeandikwa na Prof Peter Duesberg na wengine kuonesha kwamba AIDS is caused by noncontagious risk factors,na sio HIV kama wewe unavyoamini.Ukitaka kujua ukweli usijikite kwenye personal attack(usinishambulie mimi),bali shambulia hoja zangu.
Ulichoandika kinaonesha jinsi ulivyo na uelewa mdogo kuhusu suala hili.Ninaposema suala hili simaanishi kwamba ninaamini HIV/AIDS,bali ninazungumzia uongo wa HIV/AIDS.Maneno yako hapa chini yanaonesha jinsi usivyolielewa suala hili.
"you see, your comment shows there is fear of the disease,"
Which disease?
" we acknowledge its existence because we have seen in the lab proof and its EFFECTS in human body."
How do you its effects while you have never seen it as it applies to all infectious diseases?What if people you see/saw/came across are/were suffering from effects of ARVs drugs or something else.You will never understand my point till you start questioning.
"the important thing is to never stop questioning"-Albert Einstein.
"and by the way, why will you accuse someone of worship the problem and the same time you accuse them of taking this issue lightly? cant you see that you have contradicted yourself on the above paragraph? "
Hapa hujazungumza kitu,hii ni kwasababu ya hifadhi ndogo uliyonayo kwenye maktaba yako kichwani.Kama ungejua undani wa suala hili usingeniuliza swali hilo.Hata hivyo sina uhakika kama utaelewa yale niliyoandika hapo juu,nina mashaka kama unaelewa basics za jambo hili.
duh mnatupotezaUpungufu wa kinga mwilini ni hali sawa na unene au wembamba, sema kutokana na watu wengi kutofahma mambo ya Afya ndio maana wanaingizwa kingi.
Ukimwi hauwambikizwi, achilia mbali na zinaa bali hata kwa vitu vyenye ncha kali.
We kiswahili umejifunzia Kenya au rwanda?Upungufu wa kinga mwilini ni hali sawa na unene au wembamba, sema kutokana na watu wengi kutofahma mambo ya Afya ndio maana wanaingizwa kingi.
Ukimwi hauwambikizwi, achilia mbali na zinaa bali hata kwa vitu vyenye ncha kali.
We kiswahili umejifunzia Kenya au rwanda?
Wembamba na unene sio hali. Bali ni maumbile, na UKIMWI sio maumbile !
Kwa maelezo yako hapa unaonekana ni mzinifu sana.
Acha tabia ya uzinifu. Utakufa siku si zako kijana.
Teh teh teh.Mkuu we unazijua aya za qoraani tu, mambo ya Afy huyajui.
Nikikuuliza kama ushawahi kumuona huyo HIV sijui kama utanijibu.
Mkuu, please provide proof that you injected yourself with HIV positive blood sample.
I didn't inject myself with HIV positive blood sample,but I injected myself with the blood believed to have 'the so called HIV' kutokana na vipimo vyenu feki.
Halafu wewe nilikupa nafasi ya kufanya experiment kwenye mwili wangu kwa kunidunga damu unayoiamini kwamba ina huyo HIV,uliitumiaje nafasi hiyo?Hukunijibu swali hili na badala yake unaendelea kuleta siasa zisizokwisha.
Je,unadhani kwa utaratibu unaoonesha tunaweza kufikia tamati ya suala hili?You need proof,I gave you the chance to prove,you don't use that chance and instead you bring here the same old shit politics.
Hivi unafikiri kwa mawazo yako nitatumia njia gani kukuthibitishia wewe humu ndani kwa maandishi kiasi cha wewe kuweza kuniamini?Huoni kwamba ukinidunga wewe damu yenye huyo HIV unayemwamini ndio utakua umejipatia uthibitisho usio na doa kwa kuwa utakuwa umefanya wewe mwenyewe?Hivi wewe ni mtu wa aina gani?mbona unakuwa mgumu kuelewa mambo rahisi namna hii?
Hakuna kitu kinaitwa Damu yenye HIV kijana.
HIV ni combination of many deficiencies. Unapotosha watu kwa kufanya hitimisho km unaongelea Viazi na Mihogo.
Mkuu usimshambulie mtu, shambulia hoja.
Kufanya hivyo ni kujidhalilisha.
Teh teh teh.
Ahsante sana Kwa maneno yako.
Kweli usiemjua ni giza zito
Teh teh teh.Mkuu tusipasuane kichwa, ushawahi kumuona HIV? Unaweza kunisaidia picha yake/sio mchoro ili na mm niamini kama kweli yupo?
Kinyume nahapo mtafute Max shimba mumtafute mungu wa kweli kati ya Allah au yesu.
Before you denied anything in medical field you need to provide details of your denials Deception. And not hodge-podge-.
Can you define HIV for us? Dont be deceaved by "name".
When someone is taken into a lab for HIV test what exactly do they Check!
Some kind of unkown? Are you telling us all labs collaborate on what you call "propaganda"!?
We do know that HIV does not necessary the main cause of AIDS but "HIV" use to be called many names before.
Names like Pneumocystis carinii pneumonia, Kaposis sarcoma, and the other 25 or so different diseases, now including cervical dysplasia and so forth.
Stop putting your avatar into action Deception.
Teh teh teh.Hivi ninyi kwa nini hamjui jinsi ya kufanya mjadala?Hayo maneno yenye rangi nyekundu yanaonesha wazi kwamba hauko tayari kuelewa nitakachosema,kwa maana hiyo maswali uliyouliza ni danganya toto tu,huna nia ya kuelewa.Sisi waafrika wengi hatuna utamaduni wa kupenda kusikiliza na kuelewa mambo mapya tofauti na yale tuliyoyazoea,ndio maana inakuwa vigumu sana kuelewa masuala kama haya.
Maswali yote uliyouliza nimeyajibu kwenye zile nyuzi nilizo post kwenye reply yangu ya nyuma,kama kweli una nia ya kutaka kujua basi soma kwa makini zile nyuzi utaelewa tu.Ukiona huelewi basi ujue elimu hii haijakulenga wewe,kwa maana sio elimu zote duniani zinaweza kueleweka kwa kila mtu.
Tatizo lenu kubwa ni uvivu wa kufikiri na kuhoji mambo tofauti.Mnachukulia mambo kirahisi sana,mnadhani watu tunakurupuka kuandika mambo haya.
Ngoja nikupe mfano mmoja kuonesha jinsi akili za watu zilivyaganda;
Watu wengi ukiwemo na wewe wanajua kwamba bangi ni haramu kutokana na kutangazwa hivyo kwenye vyombo vya habari,lakini watu hawa pamoja wewe hawajui sheria hii imeanzishwa lini,wapi,nani kaianzisha na kwa madhumuni gani.Mmekariri tu kwamba bangi haramu hata bila kujali uharamu wake ni nini.Sasa sheria imeifanya bangi kuwa haramu kama utaichoma na kuivuta.
Sasa twende kwenye mantiki;
Bangi ni psychoactive unapoivuta,huu ndio mzizi wa uharamu wa bangi.Kumbuka si wote wanaotumia bangi kwa kuvuta lakini sheria yetu Tanzania haijali hilo.Pia hakuna aliyekufa kwa kuvuta bangi.Tumbaku inaua watu elfu 30 kila mwaka,yaani watu elfu 30 hufa kwa kuvuta sigara kila mwaka,lakini pamoja na vifo vyote hivyo uvutaji wa sigara ni halali ingawa wameweka angalizo kwenye pakiti za sigara("uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako").Pamoja na vifo hivyo lakini hakuna sheria inayokata kuvuta sigara,ila bangi ni haramu bila kujali unaitumiaje kwa hapa kwetu.Bangi haiui na haijathibitika kuua.
Je,mimi nikisema sheria ya kuifanya bangi kuwa haramu na sigara/tumbaku kuwa halali ni uzushi/propaganda utasema mimi ni mwongo?Wewe huoni mantiki inajionesha wazi kabisa hapo?Basi katika suala hili ni vivyo hivyo,tatizo ni kwamba hujui ni mambo gani ambayo mimi nayajua yamenifanya niwe na uhakika kwamba HIV/AIDS ni uongo uliopindukia.Ukiyafahamu mambo haya labda,sina uhakika,labda, unaweza kunielewa.Sasa soma kwa makini zile nyuzi zote kama kweli unataka kuelewa na hujakaa kiubishi.
wewe mwenyewe kilaza kama mimiSijakushambulia mkuu nasema Masuala ya Maradhi huwezi kuyachukulia km viazi na mihogo.
Sasa we kudai kuna Damu ulijichoma yenyr HIV huo ni upotoshaji.
Hakuna Kitu kimoja kikatww HIV km Vile Malaria Viruses.
Hakuna kitu kinaitwa Damu yenye HIV kijana.
HIV ni combination of many deficiencies. Unapotosha watu kwa kufanya hitimisho km unaongelea Viazi na Mihogo.
..Mfano wa Bangi na huo wa Hiv Wala haviingii akilini.
Ulitaka Serikali ihalalishe Bangi kwa sababu haiui ili upate kupuliza kwa raha zako sio?
Kijana Acha kabisa kichanganya Watu.
Serikali ya namna hio bado haijawahi tokea Duniani.
Sio sigara tu inayoua ambayo ni Halali. 60 of elite world population wanakufa kwa Obesity cause by process food. Sasa ulitaka na Fast food pia vipigwe marufuku sio?
Hamia korea Mkuu. Tanzania hapakufai.
Site tight now and let me take you for a ride young man.1. "Hakuna kitu kinaitwa Damu yenye HIV kijana."
Hivi ninyi mkoje?Aliyesema kuna damu yenye HIV ni mimi au ni daktari wako mtukufu?Ninyi hampendi kusoma ndio maana mnaji misdirect sana.Pole sana,kuwa makini sana unapojadiliana na mimi,najua utakuja kugundua tu kwamba I am very consistent,sibahatishi.
2. "HIV ni combination of many deficiencies."
Ha ha haaaa!!! kweli humu kuna vichekesho,nilidhani unajua kidogo hata huo uongo ulidanganywa vipi,kumbe hujui kabisa.Hivi kwanini usikae kimya tunaojua tukuelimishe?
Hebu tutajie hizo combinations of deficiencies zipi?
wewe mwenyewe kilaza kama mimi
malaria viruses ni nini?
kwa maana hyo malaria inaambukizwa kwa virus?
huna kitu kichwani kiasi cha kujibishana na watu kwenye huu uzi
kuwa msomaji tu