...Listen, i am here and i am ready for you to challenge the non-existence of HI virus. I am lead to wonder why have there have never been ONE person on any global media channel to challenge existence HIV, NOT ONE. is it that you are hiding your face from RIDICULE ???
You are hiding behind a false name, Come out of that hiding and state of pretentious, bring forth your test/experiments to prove HIV is not actually HIV, it is something else. and let the world know.
Wewe bado sana,hata kama utajitutumua kujiaminisha kwa watu kwamba unajua lakini ukweli ni kwamba hujui kitu kwenye suala hili.You are very blank on this issue.Ni bora ukae kimya usubiri kuelimishwa kuliko kujifanya unajua,utaiadhirisha false ID yako.
1."
I am lead to wonder why have there have never been ONE person on any global media channel to challenge existence HIV, NOT ONE"
Sasa angalia uvundo ulioandika hapo juu.Ndio maana nakwambia wewe hujui,subiri uelimishwe,usiwe mkali wakati kichwani huna elimu hii.Wanasayansi wengi tena maarufu na wakubwa duniani walishajitokeza kuelezea suala hili wakiwa na uthibitisho wa kisayansi.Wewe uko dunia gani?
Peter Duesberg:
Huyu ni Prof aliyesomea virology,anawajua retrovirus vizuri sana,Robert Gallo anamjua huyu jamaa.Peter anasema(
Kwa kutoa uthibitisho wa kisayansi) kwamba hakuna kirusi yeyote mwenye uwezo wa kushusha kinga ya mwili.Mfuatilie Peter wewe mwenye,usisubiri kumezeshwa,maana uvivu wa kusoma ndio tatizo lenu.Peter ameandika scientific papers nyingi sana kuhusu suala hili,Peter hasemi kitu kwenye public bila ya kuwa na uthibitisho nacho.
Dr.Robert Willner:
Mfuatilie huyu Dr.vizuri wewe mwenyewe,huyu alishawahi kujidunga mara nyingi sana na damu yenye huyo HIV(feki) lakini mpaka anafariki alikuwa ni HIV-.Robert Willner ameandika kitabu kimoja kinaitwa DEADLY DECEPTION kinachozungumzia kwamba AIDS haisababishwi na huyo HIV(hewa) mnayemwabudu.
Eleni Papadopulos:
Huyu alikusanya data zote ambazo zilitumika na kina Gallo na Montaigner kuwaaminisha watu kwamba wao wamegundua HIV.Anazielezea data hizi kwa kutoa uthibitisho wa kisayansi kwanini HIV hajawahi kugundulika.Hakuna uthibitisho wa kisayansi kuelezea uwepo wa HIV.Mfuatilie wewe mwenyewe huyu mama genius ndio utaweza kuwa na uwezo wa kusimama na mimi kwenye hoja.
Prof.Kary Mullis:
Huyu ni prof wa biochemistry ambaye mwanzo alikuwa amekaribia kuamini kwamba HIV yupo na anasababisha AIDS.Kwa kuwa Kary ni very bright,baadaye akaja kugundua kwamba huu ni uongo wa kijinga sana na akaamua kuachana na HIV/AIDS regime.Kumbuka au fahamu kwamba Kary Mullis ndiye mgunduzi wa PCR kile kipimo kinachotegemewa cha huyo HIV(feki).Sasa usije ukatoa uvundo kusema kwamba kama Kary Mullis haamini HIV kwanini ametengeneza kipimo hicho,nakupa angalizo tu kukuokoa usiadhirike.
Wapo wanasayansi wengine wengi wakubwa,siwezi kutaja wote kutokana na muda na nafasi kwa wasomaji.Wanasayansi hawa walishajitahidi mara nyingi sana kutafuta nafasi kwenye media kuelezea suala hili lakini hawakusikilizwa.Kuna sababu kubwa sana ya wao kutosikilizwa,wewe huijui hii sababu ndio maana uko kimbelembele kupinga.Unakimbilia kusema kwamba mimi nimeshikilia ma conspiracy theories tu.Hutaki hata kuhoji,unadhani kuhoji ni dhambi.Fuatilia vizuri watu hawa ili uone kwamba walishahangaika sana kwenye media lakini hawasikilizwi.
2."
bring forth your test/experiments to prove HIV is not actually HIV, it is something else."
Ukifuatilia maelezo ya hapo juu kwa umakini utapata documentaries na scientific papers kuthibitisha unachokitaka kwenye hayo maandishi mekundu.Kuna papers nyingi zimeandikwa na Prof Peter Duesberg na wengine kuonesha kwamba AIDS is caused by noncontagious risk factors,na sio HIV kama wewe unavyoamini.Ukitaka kujua ukweli usijikite kwenye personal attack(usinishambulie mimi),bali shambulia hoja zangu.
Ulichoandika kinaonesha jinsi ulivyo na uelewa mdogo kuhusu suala hili.Ninaposema suala hili simaanishi kwamba ninaamini HIV/AIDS,bali ninazungumzia uongo wa HIV/AIDS.Maneno yako hapa chini yanaonesha jinsi usivyolielewa suala hili.
"you see, your comment shows there is fear of the disease,"
Which disease?
" we acknowledge its existence because we have seen in the lab proof and its EFFECTS in human body."
How do you its effects while you have never seen it as it applies to all infectious diseases?What if people you see/saw/came across are/were suffering from effects of ARVs drugs or something else.You will never understand my point till you start questioning.
"the important thing is to never stop questioning"-Albert Einstein.
"and by the way, why will you accuse someone of worship the problem and the same time you accuse them of taking this issue lightly? cant you see that you have contradicted yourself on the above paragraph? "
Hapa hujazungumza kitu,hii ni kwasababu ya hifadhi ndogo uliyonayo kwenye maktaba yako kichwani.Kama ungejua undani wa suala hili usingeniuliza swali hilo.Hata hivyo sina uhakika kama utaelewa yale niliyoandika hapo juu,nina mashaka kama unaelewa basics za jambo hili.